Ni member(s) gani wa JF ungependa kukutana naye

Ni member(s) gani wa JF ungependa kukutana naye

Aaaaahhhh wacha hizo bro!

Hivi mkuu unajua kuna ma-don humu ndani wangeweza kutusaidia sote maaana hata mimi mwenyewe napata ya kula tu bro
Sure! Tatizo ID zinaficha mengi so huezi jua yupi don yupi kapuku.

Distributed Denial-of-Service
 
Hivi Madame Heaven on Earth yupo? Kitambo sana namuelewaga. Kuna Dada wa Kimasai.

Kwa washkaji wengi sana. MLEVi Mmoja, Mshana Jr, Baba Swalehe Jambazi pia kuna wadau wa uzi wa Kupeana Likes na Usiku wa Manane wale tunaonana mulemule tu kwakua mchana tumelala.

Pia kuna jamaa wawili wanaitwa 911 na Mahondaw sijui mwanamke yupi na Mwanaume yupi ila nahisi ni couple nao nawakubali sana.

Kuna jamaa anaitwa Kiranga sema nikimtag atauliza kwanini unataka tuonane. Ila jamaa ana maswali/mijadala fikirishi sana naweza gain vitu kutoka kwake,

Kuna mshikaji anaitwa Chief-Mkwawa jukwaa la tech huyu jamaa sijawahi muona jukwaa jingine na ana msaada sana ukimuuliza inbox au comment, sema hajawahi kutoa like ata moja ina anapokea tu (kinyume na mkwepu jr ).

Sema for the sake of anonymity wengi hatutaweza onana. Ila all in all wengi sana washkaji humu.
 
Back
Top Bottom