Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
In shaa Allah mkuu.In Shaa Allah tunasema If God Will
Nilikuwa naangalia makala moja ya nchi rahisi kwa kustaafu [emoji3][emoji3]
Ila bado nimepitia tu makala
Kwa kusafiri bado sana mkuu maana naangalia offer za mwaka huu 2020 ambapo kuna mtu ananiomba sana nikamtembelee Toronto nategemea kwenda kwa siku 3 za weekend kama Mungu akinijaalia nikaona na Niagara falls Ontario
Hakuna kitu naweza kutumia hela na kufurahia kama usafiri
Tutaonana tu Mkuu dunia ndogo sana hii
Sent from my iPhone using Tapatalk
Same to you! One day yeahHappy new yr rafiki!...naangalia na umri😉!
In shaa Allah mkuu.
Unakumbuka maandalizi yangu ya Jordan??? They are on track
Same to you! Mwaka 2020 utakuwa wa mafanikio kwako. Amen
Mrejesho ntakupa kaka. Wala usijali however, Luna dalili May hiyo hiyo nkaenda Norway.Mungu akutangulie
Huwezi kuijutia
Amaan ni sehemu tulivu na pasafi sana huoni hata kipisi cha sigara aisee
Utanipa mrejesho ndugu yangu
Sent from my iPhone using Tapatalk
Amen Amen AmenSame to you! Mwaka 2020 utakuwa wa mafanikio kwako. Amen
Mrejesho ntakupa kaka. Wala usijali however, Luna dalili May hiyo hiyo nkaenda Norway.
But yeah Jordan lazima in shaa Allah this year
Ha haaa haya bana nitatekeleza hilo.
manengelo huyu sio shemeji yako tena ole wako nikusikie
Kwa ID yako labda uende kule kwenye kula kimasihara.. hahahaAise nyie watu ni wabaguzi sana! Inamaana hakuna hata mmoja anaependa kuniona kweli? Naona mnachaguana tu wenyewe!
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamni! Mwenzako navyotafta mume wa kumpumzikia we unampiga kibuti?jaman jaman! Shaurirooo!
Mchukue tu bana kwan sh ngapi? Dah ila inauma sana kupigwa kibuti nusu saa kabla ya mwaka mpya kuanza.
Sure! Nakumbuka pindi Ile nimepinda balaa af nkamchangia Nyete daaah!! nlitamani kulia nlivojua nimetapeliwaMkuu waaminifu ni wachache sana hata tukimpa tajiri wetu humu kiduku bado atatupiga tu
Huwa natamani kusaidia ila unashindwa kujua kama ni authentic au tapeli tu
Sent from my iPhone using Tapatalk
May be It will work, lets wait and see.Niko na resistance ya 4065MEGA OHMS