CONTROLA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2019
- 7,001
- 23,449
nmepishana nae pale kairuki yupo na mume wake,ni mjamzito sasa!
nasikia n ujauzito wa mapacha,maana tumbo lake n hapa na kuleee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nmepishana nae pale kairuki yupo na mume wake,ni mjamzito sasa!
[emoji23][emoji23][emoji23] kwa sababu huwa naenda kwaajili yangu mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Jonah bby wangu mzuri mpolee mtaratibuu mwenye hekimaaHello wakuu, hope mko poa.
Je kuna member yoyote wa JF ungependa kukutana naye. Kama ndio, Je! ni kwasababu gani?
List yangu + sababu zangu ni hizi hapa;
1/ Kiduku Lilo huyu bepari natamani sana nimuone, nione maisha yake halisi + mbwembwe na tambo zake kama zinaendana na awamu ya tano au ni basi tu changamsha JF. If possible anipe round mbili tatu kwenye Ford Ranger sababu I real like this car.
2/ Zero IQ wish nimuone tubadilishane mbinu kadhaa za uchakataji.
Huyu jamaa anaweza kuwa ni mtu mzito sana gavoo sema ID fake Inaficha mengi, anaweza kuwa ni...
3/ Kiranga Wish nione hata picha yake nione anafananaje maana jamaa ni mbishi sana about mambo ya Imani pande zote (NURU & GIZA) Asee bro hayajakufika ndo maana.. Rudi TZ nenda pande za KIGOMA then eleza unataka logwa utajionea.
4/ Relief Mirzska He seems to be a good guy ever, nimesoma comment yake somewhere and see how good he Is. Keep It up bro wish niwasiliane na wewe Ila I'm not allowed to send PM (dont know why)
5/ GENTAMYCINE Baba lao mzee wa mashushu, thread anaanzisha yeye Ila wachangiaji wote wanakua maadui zake ni mwendo wa mashushu + maneno mbofu mbofu (hahaha)
6/ Hance Mtanashati Wish nimuone Ili nikamilishe utafiti + mawazo yangu kuhusu yeye.. Je ni kweli!! ( Sina maelezo zaidi)
7/ warumi Aseee huyu member ni m'mbea sjapata ona, umbea wote wa IG anauleta JF sidhani kama kuna celebrity hafahamiki na huyu mtu nje ndani, then wish nijue jinsia yake.
8/...
9/...
.
.
.
Distributed Denial-of-Service
Nemo niliwahi kumuona yupo cool, protective and not easy to interact, chagga lady from kibosho.
Sisi madingi wanasemaga hatuna swagaWanaona tutazingua maana hatuchelewi kuwapa za uso [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my iPhone using Tapatalk
Me too, wanna meet you mkuu!
PouwaOoh get await 4 code area ya bata kesho
Kwa hiyo kazi tz umeacha lini na wewe mtoto kwenye ile kampuni
Kimpango wakoHapana dada yangu.sijaacha.kazi zangu nazunguka almost dunia nzima.yaani ikitokea mwezini au sayari nyingine imefunguliwa ofisi mimi ntafika huko pia. Katika familia yetu mimi tu ndo nimechukua uraia wa tz wengine wamechukua sweden,canada,na uk. Angalau mimi mtanzania mwenzenu.
Wasanii wengi sana huku + wasio na kazi kama mimi lakini wanajifanya maisha saafiBora hukupenda kunijua mimi
Wengi wana maisha tofauti kabisa na uhalisia [emoji23]
Sent from my iPhone using Tapatalk