Ni member yupi una uhakika yupo katika ignore list ya wanachama wengi humu?

Gentleman,
uamuzi wa aina hiyo ni kitu nonsense sana.

kumuweka member wa JF kwenye ignore au block list,
kwanza kabisa hutamsahau milele kwasababu daima utakua unatembea nae popote utakapokwenda kwakua wakati wote atakua kwenye kifaa chako unachotumia kuingia JF.
Zaid sana, ukikumbuka tu kwenye ignore au block list yako kuna nini, lazima utamkumbuka huyo ulie muignore au kumblock, na kwahivyo kazi ya kutibua ungonjwa wako wa moyo itakua ni yako mwenyewe.

Lakini pia uamuzi huo wa kijinga ni kujifungia fursa, kujikosesha maarifa, taarifa, elimu, ufahamu, uelewa na maarifa zaidi pengine ambayo pengine usingeweza kuyapata zaidi ya kwa huyo member uliemuignore au kumblock kwa mihemko yako ya kukurupuka kama nyumbu.

Hata hivyo,
kumuweka member wa JF kwenye ignore au block list ni sawa na kumuhifadhi tu kwenye library yako ambae baadae unaweza kumtumia kama reference

uamuzi huo ni sawa na wale wa nimekusamehe lakini sintokusahau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…