Ni member yupi unamkumbuka hapa JF Aliyekuja pupa akiwa bado mgeni?

Mkuu shukran sana kunileta hapa
Ebhana hiyo Avatar ya hiyo drama Emperor of the Sea ni kiboko ndo inspiration movie yangu kuhusu hussling naikubali sana hata kwa PC sijawahi ifuta na nimeiangalia mara nyingi tangu 2011..much respect mzee
 
Ahahahah..Pamoja sana mkuu..
 
Kuna mdada flan nikimtaja atakuja na mitusi kama yooote saivi Senior expert member alipoanza alikuwa kero kila uzi yupo na alikuwa mbishi balaa, saivi kanyooka japo anajua kila kitu na mbishi hatari.
 
Back
Top Bottom