Ni Members gani wa JF, kwa mabandiko au koments zao tu, ina ashiria kabisa ni Warembo au Watanashati?

Ni Members gani wa JF, kwa mabandiko au koments zao tu, ina ashiria kabisa ni Warembo au Watanashati?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Achila mbali IDs au avatar yake...

Ni nani miongni mwa wanaFamilia wa JF ambao kwa mabandiko au michango yao ya mawazo humu jukwaani, unapoisoma tu, wanaashiria kabisa ni warembo with brain fulani hivi wanaovutia na kujielewa, lakini pia ni magentlemen flani hivi watanashati kweli kweli kimuonekano, wataratibu, focused na ni visionary haswaaa 🐒
 
achila mbali IDs au avatar yake...

ni nani miongni mwa wanaFamilia wa JF ambao kwa mabandiko au michango yao ya mawazo humu jukwaani, unapoisoma tu, wanaashiria kabisa ni warembo fulani hivi wanaovutia na kujielewa, lakini pia ni magentlemen flani hivi watanashati kweli kweli kimuonekano, wataratibu na ni visionary 🐒
Uzi wa kutafuta waganga na wanajimu wa JF hatimaye umefika.Maisha raha...ooopsss...ni MaashaAllah!🙏😎
 
Kwa warembo wapo wengi tu.

Kwa uchache Kuna Karucee ,ana kingereza Fulani hivi utajua tu huyu ni masomo,alafu atakuwa ni mwanasheria.

Mdada Fulani hivi anaonekana anapenda kuvaa miwani.

Kuna huyu Lenie sijui kimemkuta nini asee!! Simwoni tena jamvini.Labda Depal atuambie. Ni mdada mrembo na mpole pia. Ingawa ukiingia kwenye tajiri yake anakukanyanga vizuri tu.

Kuna Depal ,ana unyamwezi mwingi sana,ila mkorofi, cute with brain. Huyu sijui kama anaweza kukaa ndani na mwanaume maana mwanamke akiwa na akili sana anapenda kumchallange mwanaume ndani. Sijui kwa huyu asee!!

Aaliyyah ,huyu ni mrembo sana kwa mwonekano na anajua kupika. Mleta mada usiniulize nimejuaje mapishi yake?

Alafu anapenda kudeka balaa,hahaha.

Ila ana upendo na huruma sana.

Kuna dada yangu mwenyewe Chakorii .
Picha linaanza,Huyu mdada ukiongea nae kwenye simu ana sauti nzuri,wale wadada wa Customer care wa mitandao wakasome. Alafu mguu wake ni ile wanaitwa mguu wa bia. Ana kicheko Fulani hivi amazing,nakifananisha na cha Diva wa wasafi fm (lavidavi).

Kuna mmoja nilimwona kule selfika, skin tone yake tu unajua ni mrembo. Nitamtaja baadae.
 
achila mbali IDs au avatar yake...

ni nani miongni mwa wanaFamilia wa JF ambao kwa mabandiko au michango yao ya mawazo humu jukwaani, unapoisoma tu, wanaashiria kabisa ni warembo fulani hivi wanaovutia na kujielewa, lakini pia ni magentlemen flani hivi watanashati kweli kweli kimuonekano, wataratibu na ni visionary 🐒
Ccm MKAMBARANI
 
Erythrocyte anaonekana ni mchafu sana,hata kusafiri toka kyela hajawahi.
 
Back
Top Bottom