Ni Members gani wa JF, kwa mabandiko au koments zao tu, ina ashiria kabisa ni Warembo au Watanashati?

Ni Members gani wa JF, kwa mabandiko au koments zao tu, ina ashiria kabisa ni Warembo au Watanashati?

achila mbali IDs au avatar yake...

ni nani miongni mwa wanaFamilia wa JF ambao kwa mabandiko au michango yao ya mawazo humu jukwaani, unapoisoma tu, wanaashiria kabisa ni warembo fulani hivi wanaovutia na kujielewa, lakini pia ni magentlemen flani hivi watanashati kweli kweli kimuonekano, wataratibu na ni visionary [emoji205]
Wewe unaonekana ni mrembo haswa
 
ni nani miongni mwa wanaFamilia wa JF ambao kwa mabandiko au michango yao ya mawazo humu jukwaani,
Hawa madada wanaonekana ni wazuri na warembo licha ya umri wao kusogea yaani ni mashangazi!

Nifah

Evelyn Salt

Madame B

Joanah

Nuzulat

Halafu kuna mdogo wao huyu anapenda sana ule mchezo!

Cocastic

Nb: Hao madada hapo juu ukimtoa Nifah (Hajajipambanua) wanapenda sana ule mchezo hasa huyo wa mwisho)
 
1. Hannah anaonekana ni mtaratibu, mrembo kisu balaa. Huwa anachangia kwa utulivu sana.

2. Dr Lizzy naye ni kama mrembo msomi mwenye utulivu sana.

3. Ila Evelyn Salt ni shangazi fulani hivi mwenye msimamo mkali hatari na hatakagi mazoea. Huyu ni sawa na Miss Natafuta.

4. Huyu To yeye ni mwalimu mzoefu na mtu poa matured sana.

5. Lamomy ni mcheshi na anapenda kampani sana.

6. Huyu Ms R ni msichana mdogo na ana aibu aibu fulani ila ana heshima sana.
 
1. Hannah anaonekana ni mtaratibu, mrembo kisu balaa. Huwa anachangia kwa utulivu sana.

2. Dr Lizzy naye ni kama mrembo msomi mwenye utulivu sana.

3. Ila Evelyn Salt ni shangazi fulani hivi mwenye msimamo mkali hatari na hatakagi mazoea. Huyu ni sawa na Miss Natafuta.

4. Huyu To yeye ni mwalimu mzoefu na mtu poa matured sana.

5. Lamomy ni mcheshi na anapenda kampani sana.
"Mshangazi uliojipata"
 
Back
Top Bottom