Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshangazi wa mwendokasi"Mshangazi uliojipata"
Ulijuaje hapa nilipo nipo na bonge la kampani tunalewa weekend 😂😂😂1. Hannah anaonekana ni mtaratibu, mrembo kisu balaa. Huwa anachangia kwa utulivu sana.
2. Dr Lizzy naye ni kama mrembo msomi mwenye utulivu sana.
3. Ila Evelyn Salt ni shangazi fulani hivi mwenye msimamo mkali hatari na hatakagi mazoea. Huyu ni sawa na Miss Natafuta.
4. Huyu To yeye ni mwalimu mzoefu na mtu poa matured sana.
5. Lamomy ni mcheshi na anapenda kampani sana.
6. Huyu Ms R ni msichana mdogo na ana aibu aibu fulani ila ana heshima sana.
mimi mdogo pia nina aibu 😂😂 OMG 🙆🏾1. Hannah anaonekana ni mtaratibu, mrembo kisu balaa. Huwa anachangia kwa utulivu sana.
2. Dr Lizzy naye ni kama mrembo msomi mwenye utulivu sana.
3. Ila Evelyn Salt ni shangazi fulani hivi mwenye msimamo mkali hatari na hatakagi mazoea. Huyu ni sawa na Miss Natafuta.
4. Huyu To yeye ni mwalimu mzoefu na mtu poa matured sana.
5. Lamomy ni mcheshi na anapenda kampani sana.
6. Huyu Ms R ni msichana mdogo na ana aibu aibu fulani ila ana heshima sana.
Ohooo😂😂Ulijuaje hapa nilipo nipo na bonge la kampani tunalewa weekend 😂😂😂
Ndiyo😂mimi mdogo pia nina aibu 😂😂 OMG 🙆🏾
nitakushangaza ujue 😂Ndiyo😂
Kwanini!nitakushangaza ujue 😂
nitakutumia picha uone nilivo mshangaz 😂😂Kwanini!
Poa. Ni pm basinitakutumia picha uone nilivo mshangaz 😂😂
Shem 😂😂😂Shem tena 😔
You never cease to amaze me!
basi nimeghairi😂🙌🏾Poa. Ni pm basi
Dah unazidi kuharibu 😔Shem 😂😂😂
Sasa unataka nikuite nani mbaga? Basi kaka
Sawa☺️☺️basi nimeghairi😂🙌🏾
My sheriiiiiyyyyyDah unazidi kuharibu 😔