Ni Members gani wa JF, kwa mabandiko au koments zao tu, ina ashiria kabisa ni Warembo au Watanashati?

1. Hannah anaonekana ni mtaratibu, mrembo kisu balaa. Huwa anachangia kwa utulivu sana.

2. Dr Lizzy naye ni kama mrembo msomi mwenye utulivu sana.

3. Ila Evelyn Salt ni shangazi fulani hivi mwenye msimamo mkali hatari na hatakagi mazoea. Huyu ni sawa na Miss Natafuta.

4. Huyu To yeye ni mwalimu mzoefu na mtu poa matured sana.

5. Lamomy ni mcheshi na anapenda kampani sana.

6. Huyu Ms R ni msichana mdogo na ana aibu aibu fulani ila ana heshima sana.
Ulijuaje hapa nilipo nipo na bonge la kampani tunalewa weekend 😂😂😂
 
1. Hannah anaonekana ni mtaratibu, mrembo kisu balaa. Huwa anachangia kwa utulivu sana.

2. Dr Lizzy naye ni kama mrembo msomi mwenye utulivu sana.

3. Ila Evelyn Salt ni shangazi fulani hivi mwenye msimamo mkali hatari na hatakagi mazoea. Huyu ni sawa na Miss Natafuta.

4. Huyu To yeye ni mwalimu mzoefu na mtu poa matured sana.

5. Lamomy ni mcheshi na anapenda kampani sana.

6. Huyu Ms R ni msichana mdogo na ana aibu aibu fulani ila ana heshima sana.
mimi mdogo pia nina aibu 😂😂 OMG 🙆🏾
 
Back
Top Bottom