Ni Members gani wa JF, kwa mabandiko au koments zao tu, ina ashiria kabisa ni Warembo au Watanashati?

Kwa wadada namuona ephen_ yuko poa sana kanaonekana kadada kastaarabu halafu kasikivu ridging on how she comments.
Lamomy kadada flan kacheshi,kanapenda masihara ila pia kana matani ya ukweli,kiujumla charming humble girl.
Evelyn Salt huyu mwanamama akili nyingi ila aonekana mbabe.
Lastly kipenzi changu mimi nayempendaga cocastic mwanamke mjanja na mjuaji mpaka kaivuka busara yake,yani kwa alivyo ningelimjua ningelimuweka mke wa pili kama ako single.Maana huwapenda wadada wajanja na wajuaji kupitiliza.

Kwa gentlemen nawaona wafuatao;
Poor Brain
Hammaz
Intelligent businessman
100 others
Proved .
 
nimekaa zangu nasubiri kutajwa lakini wapiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…