binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sweet mamdogo 🤩🥰😍
Shemejiiiiiiii!! 😅🤍🤍Nani mwingine kastaarabika kama Shem binti kiziwi
nimekaa zangu nasubiri kutajwa lakini wapiiiiAchila mbali IDs au avatar yake...
Ni nani miongni mwa wanaFamilia wa JF ambao kwa mabandiko au michango yao ya mawazo humu jukwaani, unapoisoma tu, wanaashiria kabisa ni warembo with brain fulani hivi wanaovutia na kujielewa, lakini pia ni magentlemen flani hivi watanashati kweli kweli kimuonekano, wataratibu, focused na ni visionary haswaaa 🐒
Shemeji jitake radhi tafadhali hauna wengi usijikosee tafadhali😅Shemejiiiiiiii!! 😅🤍🤍
Mkeo ndio kastaarabika, nimekulelea vyema.. mi kidogo nina wenge 😂
binti kiziwi ni Shemeji yangu mkuu.
Kweli kabisa, nikilenga huwa sikosei.hakuna wa kupinga kwa huyu
binti kiziwi chukua maua yako shemeji yangu mzuri🙌Huyu ni next level aisee
binti kiziwi😍
Nimeona unasemaje mkuu"start conversation"
njoo nikunong'onezeNimeona unasemaje mkuu
Sema hapa jukwaaninjoo nikunong'oneze
Weka alama ya @ halafu andika user name ya uyo unataka kumtagPlease can someone teach me how to tag/mention member humu ndichi?😫napitwa sana na mada kama hizi.
Nasemaje, nakupenda kiasi ata kwenye keyboard yangu kuna herufi za majina yako tu. Fungua moyo wako tuenjoy maisha haya mafupiSema hapa jukwaani