sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
❤️❤️❤️💚❤️❤️❤️❤️
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
❤️❤️❤️💚❤️❤️❤️❤️
tulia udugu wangu😂😂Bila bila mamaeee halafu nione kima inakuja pm eti “Mambo “🐒🐒unakula 👊🏻hii ugeuze ulipotoka.
Shukrani Bw. KosugiKwa gentlemen nawaona wafuatao;
@Poor Brain
@Hammaz
@Intelligent businessman
@100 others
@Proved .
Jf hakuna mdada asiye na vigezo, wote ni visu halafu wa kishua hata wewe kama ni mdada tu ujue wewe ni kisu halafu wa kishua
💋💋❤️❤️❤️❤️
Umepatia hiki kichwa sijui kilipotelea wapi, huyu mwamba anajua mpaka anaboa🤣Kuna member alikuwa anaitwa EMT aisee sijawahi ona mwanaume smart, intelligent and gentleman kama yeye JF. Sijui alipotelea wapi🙆🙆
Yes ni siri ya kambi😂Hivi huwa hawatajwi?🤣🤣🤣
Sindo wewe umenitaja😂Hmm.. wewe uwe haujatajwa mada kama hii? Haiwezekani
😂😂Kumbe watu hadi simu zao mnazo
Yeeees, hivi vichwa vimeadimika sana jf aisee.Umepatia hiki kichwa sijui kilipotelea wapi, huyu mwamba anajua mpaka anaboa🤣
Na hii ni JF ya enzi za kina malaria sugu et al.
Hebu twende taratibu....Yes ni siri ya kambi😂
Ukiona kimya ujue mambo Shwaaaa kushinei babu G!
Kale kavideo ka uno hujatuma mahi😂😂😂
Unajikung'uta vumbi na kutembea kifua mbele, kama hakuna kilichotokea. Hawa vijana wetu, wakishakula na kunawa wanakimbia hadi vivuli vyao.Yes ni siri ya kambi😂
Ukiona kimya ujue mambo Shwaaaa kushinei babu G!
Nawe najua una ya Luca
Wajipigie makofi