Ni Members gani wa JF, kwa mabandiko au koments zao tu, ina ashiria kabisa ni Warembo au Watanashati?

Kwa gentlemen nawaona wafuatao;
@Poor Brain
@Hammaz
@Intelligent businessman
@100 others
@Proved .
Shukrani Bw. Kosugi

Binafsi, nakukubali na nakuelewa sana. Wewe ni miongoni mwa watu wachache humu Jf ambao Mungu amewatunuku mnajua mambo mengi. Kiukweli tunanufaika na uwepo wenu.

Again-shukrani Mkuu! Pamoja sana 🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…