Ni Members gani wa JF, kwa mabandiko au koments zao tu, ina ashiria kabisa ni Warembo au Watanashati?

Hakuna hata mmoja.
 
Sema mwanangu fute hii comment ta
Huwa sijui unamaanisha nini unapotaka nifute comments ambazo nimeandika mwenyewe pasi na kushinikizwa na yeyote!.
Dear Genius Man, nizoee tu....huenda zinakufanya ujisikie vibaya ila i swear hukuwepo tu enzi ya Jukwaa la Wakubwa (JLW)....ungetamani nifute kila post zanguπŸ˜”.
Pole sana πŸ˜” utanizoea taratibu, na utakuja kugundua kumbe wewe ndio bikra wa haya mamboπŸ˜….

Karibu kwangu kama utahitaji huruma zaidi best!!!
 
Kwasababu nakupenda, sasa naomba kuuliza hivi ni wewe huyu leo ndio unaniambia hiv au umelewa?
 
Kwasababu nakupenda, sasa naomba kuuliza hivi ni wewe huyu leo ndio unaniambia hiv au umelewa?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Sijalewa, nalewaje wakati nipo kwenye dozi πŸ€’?
Unanipenda...πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ Soma hapa chiniπŸ˜…
 
Jukwa la wakubwa uliliwakilisha vyema, sisi wakulungwa tunaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…