Ni Members gani wa JF, kwa mabandiko au koments zao tu, ina ashiria kabisa ni Warembo au Watanashati?

Achila mbali IDs au avatar yake...

Ni nani miongni mwa wanaFamilia wa JF ambao kwa mabandiko au michango yao ya mawazo humu jukwaani, unapoisoma tu, wanaashiria kabisa ni warembo with brain fulani hivi wanaovutia na kujielewa, lakini pia ni magentlemen flani hivi watanashati kweli kweli kimuonekano, wataratibu, focused na ni visionary haswaaa 🐒
Hakuna hata mmoja.
 
Sema mwanangu fute hii comment ta
Huwa sijui unamaanisha nini unapotaka nifute comments ambazo nimeandika mwenyewe pasi na kushinikizwa na yeyote!.
Dear Genius Man, nizoee tu....huenda zinakufanya ujisikie vibaya ila i swear hukuwepo tu enzi ya Jukwaa la Wakubwa (JLW)....ungetamani nifute kila post zangu😔.
Pole sana 😔 utanizoea taratibu, na utakuja kugundua kumbe wewe ndio bikra wa haya mambo😅.

Karibu kwangu kama utahitaji huruma zaidi best!!!
 
Kwasababu nakupenda, sasa naomba kuuliza hivi ni wewe huyu leo ndio unaniambia hiv au umelewa?
 
😂😂😂 Sijalewa, nalewaje wakati nipo kwenye dozi 🤒?
Unanipenda...👇👇👇 Soma hapa chini😅
 
Huwa sijui unamaanisha nini unapotaka nifute comments ambazo nimeandika mwenyewe pasi na kushinikizwa na yeyote!.
Dear Genius Man, nizoee tu....huenda zinakufanya ujisikie vibaya ila i swear hukuwepo tu enzi ya Jukwaa la Wakubwa (JLW)....ungetamani nifute kila post zangu😔.
Pole sana 😔 utanizoea taratibu, na utakuja kugundua kumbe wewe ndio bikra wa haya mambo😅.

Karibu kwangu kama utahitaji huruma zaidi best!!!
Jukwa la wakubwa uliliwakilisha vyema, sisi wakulungwa tunaelewa
 
Back
Top Bottom