Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Nipo nawazuumu tu mpwa. Wala sifurahii mimi wallahi!๐๐๐Wee wajaze tu
Thank you rafikiyngu kijana wa home kabisa ๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo nawazuumu tu mpwa. Wala sifurahii mimi wallahi!๐๐๐Wee wajaze tu
Thank you rafikiyngu kijana wa home kabisa ๐
Uongo ๐๐๐Ila mm nlivoona una ban, nkatafuta mnyonge wa kumpa ukweli wake ili na Mm niwe na ban kama yako, na hadi nikakadiria muda wa ban kuisha ili wote tufunguliwe tusipishane sana.
Husahau khaah m nilisahau kabsawhy silence?
Ahsante sana.....!!!Good evening Alex. Ahsante kwa tag mkuu, baraka tele juu yako ๐ค๐
Wii usijali siri zenu ziko safe ๐๐๐๐Usilewe sana unasiri zetu๐๐๐
Mjini hasutwi mtu ๐๐mambo ya misuto achia ma bushmanAka! Mm natak kusutwa๐๐
Wanakufurahia jamaniAhsante sana.....!!!
SIelewi kwanini watu wamecheka kwenye comment yangu.
Na mimi ngoja nicheke tu ๐๐
Wew apoAchila mbali IDs au avatar yake...
Ni nani miongni mwa wanaFamilia wa JF ambao kwa mabandiko au michango yao ya mawazo humu jukwaani, unapoisoma tu, wanaashiria kabisa ni warembo with brain fulani hivi wanaovutia na kujielewa, lakini pia ni magentlemen flani hivi watanashati kweli kweli kimuonekano, wataratibu, focused na ni visionary haswaaa ๐
Niamini my love, Siwez kumdanganya mwanamke nimpendaye โค๏ธUongo ๐๐๐
Mbaga mimi sio mtoto ujue ohhh.!!
๐ช๐Kwa warembo wapo wengi tu.
Kwa uchache Kuna Karucee ,ana kingereza Fulani hivi utajua tu huyu ni masomo,alafu atakuwa ni mwanasheria.
Mdada Fulani hivi anaonekana anapenda kuvaa miwani.
Kuna huyu Lenie sijui kimemkuta nini asee!! Simwoni tena jamvini.Labda Depal atuambie. Ni mdada mrembo na mpole pia. Ingawa ukiingia kwenye tajiri yake anakukanyanga vizuri tu.
Kuna Depal ,ana unyamwezi mwingi sana,ila mkorofi, cute with brain. Huyu sijui kama anaweza kukaa ndani na mwanaume maana mwanamke akiwa na akili sana anapenda kumchallange mwanaume ndani. Sijui kwa huyu asee!!
Aaliyyah ,huyu ni mrembo sana kwa mwonekano na anajua kupika. Mleta mada usiniulize nimejuaje mapishi yake?
Alafu anapenda kudeka balaa,hahaha.
Ila ana upendo na huruma sana.
Kuna dada yangu mwenyewe Chakorii .
Picha linaanza,Huyu mdada ukiongea nae kwenye simu ana sauti nzuri,wale wadada wa Customer care wa mitandao wakasome. Alafu mguu wake ni ile wanaitwa mguu wa bia. Ana kicheko Fulani hivi amazing,nakifananisha na cha Diva wa wasafi fm (lavidavi).
Kuna mmoja nilimwona kule selfika, skin tone yake tu unajua ni mrembo. Nitamtaja baadae.
Hii kali sasa ๐๐๐Niamini my love, Siwez kumdanganya mwanamke nimpendaye โค๏ธ