Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Huyo ni dume.....nyie jiachanganyeniππππππ³π³π³Sio kweli bwana acha utani.
Wataka sema ni upindeπππ.
Hata kama upinde ila ni KE (Lesb).
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni dume.....nyie jiachanganyeniππππππ³π³π³Sio kweli bwana acha utani.
Wataka sema ni upindeπππ.
Hata kama upinde ila ni KE (Lesb).
Humu kuna memba na mamba kua makini ni muhimu tusije kukimbia huu mtandao au id zetuπ€ΈUnaringa umepima wewee!
Fungua PM hiyo,utakosa bahati ya kumpata mbembelezaji we aya tu.
Be serious lindi kuna chuo gani jamaniLindi
Shenzi zenu πππGood π
Si upo chuo mwanafunziKhe! Kwani mimi ni lecturer?
Bhana acha bhana unajua mpaka naanza kutaka kulia atii!?Huyo ni dume.....nyie jiachanganyeni
Habari yako crush wa shemeji DarmianShemeji, msalimie Crush wangu π
Peleka posa uchukue jiko π€£π€£π€£π€£π€£Bhana acha bhana unajua mpaka naanza kutaka kulia atii!?
πππππππ.
Unataka kusema coca auza kisamvu cha kopo!?πππππππΏββοΈππΏββοΈ
de nada, mi amiga π₯°ππmuchos gracias Mr. Cassano..!!π
Basi mwaka uliokuwepo jeshi I mimi pia nilikuwepo ila bado sijamalizaHapana nilishamaliza kitambo
πππππππππππCoca ni mwanaume πΉπ
2021Mimi nilikua jeshini mwaka gani?
Kwani wewe ni mwanafunzi?
Ona sasa huyu!?Humu kuna memba na mamba kua makini ni muhimu tusije kukimbia huu mtandao au id zetuπ€Έ
Endelea kushangaa hivyohivyoo!Ona sasa huyu!?
Au na wewe wale wale kina fantastic!?
ππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈ
Nakuzingua ila inbox tungeelewana zaidi, niambie wasiwasi wako ni niniAisee! Sasa 2021 si juzi tu hapo! Mimi nilienda kwa mujibu kabla hata Magufuli hajaingia madarakani
Ila?Sina wasiwasi wowote
Kwanini mkuuShenzi zenu πππ
Precaution..!π€Έπππ Ww vamia pm ukiliwa pesa usilete malalamiko hapa jukwaani.