Ni mengi tunapitia lakini sio sawa kulisema vibaya jeshi letu, hakuna aliekamilika 100%

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Jeshi letu ni taasisi imara, ni wazalendo, tunalipeda, tunajivunia kuwa nala, ni nembo ya ujasiri na ulinzi si hapa Tanzania pekee bali Afrika Mashariki nzima kwa muda mrefu limekuwa jeshi lenye heshma yake kubwa.

Tupunguze lawama, haijakaa sawa kabisa, Na pia Tukumbuke jeshi ni Mfumo, Jeshi lina chain of command, Jeshi ni Amri.. Hakuna anaeweza kujicukulia maamuzi kivyake bila kushirikisha wengine.
 
Imara kwa mafisadi!? Taasisi imara ni ya kutetea na kulinda watanzania na mali zao. Haikufanikiwa kulinda Tanzania na Mali zao lakini wanamlinda Mama wa kura fake, utekaji, na rushwa. Tuwaheshimu kwa lipi hasa viongozi wao
 
Jeshi letu ni taasisi imara, ni wazalendo, tunalipeda, tunajivunia kuwa nala, ni nembo ya ujasiri na ulinzi si hapa Tanzania pekee bali Afrika Mashariki nzima kwa muda mrefu limekuwa jeshi lenye heshma yake kubwa.

Tupunguze lawama, haijakaa sawa kabisa, Na pia Tukumbuke jeshi ni Mfumo, Jeshi lina chain of command, Jeshi ni Amri.. Hakuna anaeweza kujicukulia maamuzi kivyake bila kushirikisha wengine.
jeshi la kulinda kura fake
 
Nyerere aliweka format ya uongozi kulingana na wakati ule.

Format hiyo CCM wanaitumia kwa manufaa yao kwa kuweka chawa wao kwenye nafasi nyeti za juu. Hili nalo mkalitazame.
 
Jeshi letu ni taasisi imara, ni wazalendo, tunalipeda, tunajivunia kuwa nala, ni nembo ya ujasiri na ulinzi si hapa Tanzania pekee bali Afrika Mashariki nzima kwa muda mrefu limekuwa jeshi lenye heshma yake kubwa.

Tupunguze lawama, haijakaa sawa kabisa, Na pia Tukumbuke jeshi ni Mfumo, Jeshi lina chain of command, Jeshi ni Amri.. Hakuna anaeweza kujicukulia maamuzi kivyake bila kushirikisha wengine.
Tunavishkuru vyombo vyetu na Serikali kwa kuhakikisha Wananchi tunendelea na shughuli zetu kama kawaida na mapinduzi kwa njia ya maandamano yamefeli. Tanzania siyo Nepal, siyo Bangladesh wala Madagascar. Wapeleke salamu kwa waliowatuma.
 
Jeshi lenu hilo la JWTZ limejaa ******* tu. wapuuzi na watu wasio na akili.
 
Tunavishkuru vyombo vyetu na Serikali kwa kuhakikisha Wananchi tunendelea na shughuli zetu kama kawaida na mapinduzi kwa njia ya maandamano yamefeli. Tanzania siyo Nepal, siyo Bangladesh wala Madagascar. Wapeleke salamu kwa waliowatuma.
Fvck you
 
Jeshi letu ni taasisi imara, ni wazalendo, tunalipeda, tunajivunia kuwa nala, ni nembo ya ujasiri na ulinzi si hapa Tanzania pekee bali Afrika Mashariki nzima kwa muda mrefu limekuwa jeshi lenye heshma yake kubwa.

Tupunguze lawama, haijakaa sawa kabisa, Na pia Tukumbuke jeshi ni Mfumo, Jeshi lina chain of command, Jeshi ni Amri.. Hakuna anaeweza kujicukulia maamuzi kivyake bila kushirikisha wengine.
Jeshi likishaingiliwa na ccm uzalendo unapotea. Ndivyo ilivyotokea. Wameshindwa kujanusha iwepo wa wanajeshi kuyoka uganda. Watu walioletwa kwa ajili ya kuja kuwauwa watanzania wenzetu. Na wamefanikiwa kwa kiwango kikubwa kabisa kuteteleza kile walichotumwa kufanya.
 
Jeshi letu ni taasisi imara, ni wazalendo, tunalipeda, tunajivunia kuwa nala, ni nembo ya ujasiri na ulinzi si hapa Tanzania pekee bali Afrika Mashariki nzima kwa muda mrefu limekuwa jeshi lenye heshma yake kubwa.

Tupunguze lawama, haijakaa sawa kabisa, Na pia Tukumbuke jeshi ni Mfumo, Jeshi lina chain of command, Jeshi ni Amri.. Hakuna anaeweza kujicukulia maamuzi kivyake bila kushirikisha wengine.
Huu ujinga wa kutetea jambo kwa kusema eti ''hakuna aliyekamilika 100%'' ni ujinga na upumbavu uliopitiliza na unatumika Tanzania tu. Kwani kuna mtu, tangu dunia iumbwe alishasema kuna binadamu waliokamilika kwa 100%? Hii mbona ni fact inayoeleka siku zote? Kutokamilika kwa 100% siyo kigezo cha kufanya uzembe au kutenda mabaya.
 
Samia kusema waliofanya fujo ni raia wa nje maana yake ni kwamba JWTZ walishindwa kulinda mipaka ya nchi ambayo ndio kazi yao ya msingi. Wameshindwa kulinda raia wasiuawe, wameshindwa kulinda Katiba isinajisiwe, DRC walishindwa kuwakabili M23. Sasa hili jeshi linaweza kitu gani cha maana? zamani JWTZ lilikuwa na ubora wa hali ya juu ila kwa sasa ni utopolo mtupu ndio maana Samia hakuliamini akajikodia masenari kutoka nje.
 
Back
Top Bottom