Ni mengi tunapitia lakini sio sawa kulisema vibaya jeshi letu, hakuna aliekamilika 100%

Hizo Rushwa za kila siku ndio uzuri wa Jeshi ah? Nimeshangaa Trafic washaanza kazi Njaa kweli haina Mwenyewe na ukizoea rushwa huachi ni kama kamali
 
Huu ujinga wa kutetea jambo kwa kusema eti ''hakuna aliyekamilika 100%'' ni ujinga na upumbavu uliopitiliza na unatumika Tanzania tu. Kwani kuna mtu, tangu dunia iumbwe alishasema kuna binadamu waliokamilika kwa 100%? Hii mbona ni fact inayoeleka siku zote? Kutokamilika kwa 100% siyo kigezo cha kufanya uzembe au kutenda mabaya.
Nakubaliana na wewe. Hiyo kauli inatumika vibaya. Huwezi kufanya makosa ya kipumbavu na maksudi ukakimbilia kujitetea eti hakuna binadamu aliyekamilika
 
Ni aheri tunaishi kipindi hiki ambacho fikra za watu wa kale bado zinaaminiwa, ngoja ipite miaka walau kumi uje uzungumze na Gen Z na watoto wao kwa kauli hiyo, watu wanaohoji kila kitu.
 
Jeshi letu ni taasisi imara, ni wazalendo, tunalipeda, tunajivunia kuwa nala, ni nembo ya ujasiri na ulinzi si hapa Tanzania pekee bali Afrika Mashariki nzima kwa muda mrefu limekuwa jeshi lenye heshma yake kubwa.

Tupunguze lawama, haijakaa sawa kabisa, Na pia Tukumbuke jeshi ni Mfumo, Jeshi lina chain of command, Jeshi ni Amri.. Hakuna anaeweza kujicukulia maamuzi kivyake bila kushirikisha wengine.

Wewe sema ni mjeda unajitetea....
 
Jeshi la kuvunja matofali Uwanja wa Taifa siku ya 9/12
 
Jeshi letu ni taasisi imara, ni wazalendo, tunalipeda, tunajivunia kuwa nala, ni nembo ya ujasiri na ulinzi si hapa Tanzania pekee bali Afrika Mashariki nzima kwa muda mrefu limekuwa jeshi lenye heshma yake kubwa.

Tupunguze lawama, haijakaa sawa kabisa, Na pia Tukumbuke jeshi ni Mfumo, Jeshi lina chain of command, Jeshi ni Amri.. Hakuna anaeweza kujicukulia maamuzi kivyake bila kushirikisha wengine.
tz hakuna jeshi hicho ni kikundi cha akina james na T
 
Jeshi letu ni taasisi imara, ni wazalendo, tunalipeda, tunajivunia kuwa nala, ni nembo ya ujasiri na ulinzi si hapa Tanzania pekee bali Afrika Mashariki nzima kwa muda mrefu limekuwa jeshi lenye heshma yake kubwa.

Tupunguze lawama, haijakaa sawa kabisa, Na pia Tukumbuke jeshi ni Mfumo, Jeshi lina chain of command, Jeshi ni Amri.. Hakuna anaeweza kujicukulia maamuzi kivyake bila kushirikisha wengine.
Tukiwaambia jeshi lenu liko compromised hamkutaka kusikia.

Na hata baada ya kuuawa vibaya wakati jeshi lenu limezuba tu, bado mna cognitive dissonance.
 
Back
Top Bottom