Ni mengi tunapitia lakini sio sawa kulisema vibaya jeshi letu, hakuna aliekamilika 100%

Hizo Rushwa za kila siku ndio uzuri wa Jeshi ah? Nimeshangaa Trafic washaanza kazi Njaa kweli haina Mwenyewe na ukizoea rushwa huachi ni kama kamali
 
Nakubaliana na wewe. Hiyo kauli inatumika vibaya. Huwezi kufanya makosa ya kipumbavu na maksudi ukakimbilia kujitetea eti hakuna binadamu aliyekamilika
 
Ni aheri tunaishi kipindi hiki ambacho fikra za watu wa kale bado zinaaminiwa, ngoja ipite miaka walau kumi uje uzungumze na Gen Z na watoto wao kwa kauli hiyo, watu wanaohoji kila kitu.
 

Wewe sema ni mjeda unajitetea....
 
Jeshi la kuvunja matofali Uwanja wa Taifa siku ya 9/12
 
tz hakuna jeshi hicho ni kikundi cha akina james na T
 
Tukiwaambia jeshi lenu liko compromised hamkutaka kusikia.

Na hata baada ya kuuawa vibaya wakati jeshi lenu limezuba tu, bado mna cognitive dissonance.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…