Ni meseji gani unayotumiwa kwenye simu ila hupendi?

Sms ya crdb kunikumbusha nisi gawe password yangu.inan kera sana mda huo nawaza lbd kuna baraka imeni shukia kumbe ujinga tu
 
Mzee rashidi mganga mashuhuri anayetibu na kurudisha nyota na bla bla blaah kibao....wanakera kinoma
 
Benki miaka 10 sijafanya nao muamala, wanantakia wiki ya wateja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…