Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata alipoanza kuzungumzwa hao wote walikua bado. Time zonesDunia inaenda kasi sana yaani yule mreno hasikiki na hazungumziwi kabisa watu wapo kwa Messi(GOAT) na Mbappe tu
Muda wa medali mambo yakabadilika kuwa hiviHii picha ime pigwa leo jion View attachment 2450420
Messi![]()
#FIFAWorldCup2022: Ni Desemba 18, 2022 Dunia itashuhudia Fainali za Kombe la Dunia lililoanza Nov 20, 2022 huko Qatar kwa kuzileta pamoja Timu za Mataifa 32 zilizomenyana kwa jumla ya Mechi 64.
Leo katika Dimba la Lusail Stadium, Al Daayen watakutana Mabingwa mara 2 wa #KombelaDunia Timu za Ufaransa na Argentina wanazowania Kombe kwa mara ya 3 na Zawadi ya Tsh. Bilioni 98.3.
Mshindi wa 2 atapata Tsh. Bilioni 70.2, Croatia walioshika nafasi ya 3 kwa kuwatoa wawakilishi wa Afrika Morocco wamebeba Tsh. Bilioni 63.2. Timu za Brazil, Uholanzi, Ureno, Uingereza licha ya kuondolewa zimelipwa Tsh. Bilioni 58.5 kila moja.
Timu gani leo unaipa kete yako kubeba Kombe la Dunia?
=================
Aside from the pride each nation generates for going on a run at the World Cup, each nation also earns World Cup prize money based on their performance.
FIFA will dish out $440 million in prize money for the World Cup as cash is given out depending on which stage of the tournament they reached, plus each team received $1.5 million just for qualifying for the World Cup.
Yes, the game is all about glory and winning the ultimate prize and to be crowned Champions of the World, but players are also playing to earn some nice bonuses which also helps to fund their national teams and associations.
Below is a breakdown of the World Cup prize money table in full, with details on how much each team made from their run at the 2022 World Cup in Qatar.
World Cup 2022 schedule – how to watch final, calendar, match schedule,...
How much prize money did the 2018 World Cup winner get?
The prize money has increased from four years ago, when a pot of $400 million was dished out between the 32 teams.
That was up $42 million from the prize money in 2014 and the winners in 2018 (France) were given $38 million, while the winning team in 2022 will receive $42 million.
Where does the prize money come from?
FIFA distributes the prize money based on the finances they gain from hosting the tournament.
How much do World Cup players get paid?
It is down to the individual nations as to how much they pay their players from the prize money they receive. Some countries may distribute the money based on appearances, or others may split it evenly.
2022 World Cup prize money table in full
Teams who went out in the group stage earned $9 million each
Qatar, Ecuador, Wales, Iran, Mexico, Saudi Arabia, Denmark, Tunisia, Canada, Belgium, Germany, Costa Rica, Serbia, Cameroon, Ghana, Uruguay
Teams who reached the Round of 16 earned $13 million each
USA, Senegal, Australia, Poland, Spain, Japan, Switzerland, South Korea
Teams who reached the Quarterfinals earned $17 million each
Brazil, Netherlands, Portugal, England
Fourth place team earned $25 million
Third place team earned $27 million
Runner-up will earn $30 million
Winner will earn $42 million
NBC Sports
Bila shaka ni CR7FIFA ilishamuandaa mchezaji bora wao wa mchongo na Bingwa wa kombe la dunia 2022, hapa ni kupotezeana muda tu.
The penalty GOATHizi ni picha baada ya fainaliView attachment 2450435
Watakuja mashabiki wa piers morgan kuja kulalamika mara penalty mara bingwa ameandaliwa[emoji1787]
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Kama ulibet nikumbuke mkuu[emoji16]Nikichulia kwa ukaribu naona Argentina wakichukua kombe, magoli yatakuwa mengi zaidi ya matatu