Ni mfarakano gani uliopo kati ya CHADEMA na Serikali mpaka Rais aitishe Maridhiano?

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Tunasikia tu maridhiano lakini hatuambiwi juu ya mfarakano uliopo?

Huyu mwanasheria mkuu wa Serikali anahusika vipi?

20220522_061412.jpg
 
Tunasikia tu maridhiano lakini hatuambiwi juu ya mfarakano uliopo?

Huyu mwanasheria mkuu wa serikali anahusika vipi?
View attachment 2233664
Unauliza jibu?

Waulize walioikimbia nchi na kuwa wakimbizi kwa wazungu walikikimbia nini?

Kuna wanasiasa, wafanya biashara walioikimbia nchi, umejiuliza kwanini?

Suala la katiba mpya linatumiwa kufunga watu midomo tu. Hao wanaolipigia debe akina Mbowe, wote system hao, hawana lolote.

Katiba siyo inayoendesha nchi, katiba ni chombo tu kinachotumiwa kukufanya uwe mtumwa daima. Wenyewe walioanzianzisha hizo katiba hawana habari nazo. Ni ujinga tiu.

Watanzania walio wengi, walidhani wanapelekwa shlue wafutwe ujinga, hawakuelewa kuwa wanapelekwa shule wajazwe ujinga. Nashukuru sana wazee wetu sisi Waislam kung'ang'ana kutupeleka madrassa kuanzia wadogo, ndio "chekechea zetu, walituokoa na kuwa "brain washed" na hata wale tuliopelekwa shule za secular hazikutuumiza sana bongo zetu kuwa completely brain washed mpaka zikawa dead kama wajinga wengi waliojazwa ujinga tunavyowaona humu.
 
Hata haieleweki mkuu wengine tunaona mapicha picha tu na maclip watu wanakutana huko kwa miavuli ya vyama na serikali lakini wananchi hawaambiwi kilichojadiliwa wala muafaka wenyewe.

Hatuambiwi nini kilitokea kupelekea hayo maridhiano.

Watambue kwamba vyama na serikali sio mali yao binafsi hivyo wanavyokutana ni kwa niaba yetu sisi wananchi ambao ndio wenye mamlaka yote.

Wanapaswa watuambie nini kinaendelea na sio kujibinafsishia vyama na serikali.

CCM sijui ni kwa vikao gani vya chama lilipitishwa azimio la kufanya maridhiano na CHADEMA.

Na CHADEMA sijui ni kwa vikao gani vya chama chao lilipitishwa azimio la kufanya maridhiano na CCM.

Kinachoonekana hapo ni utashi tu wa viongozi wa hivyo vyama jambo ambalo sio sahihi kwani hivyo vyama si mali yao binafsi bali ya wanachama hivyo maamuzi yoyote ya chama yanapaswa kutokana na vikao halali vya chama ambapo wanachama wanashirikishwa na wote kuridhia.
 
Suala la katiba mpya linatumiwa kufunga watu midomo tu. Hao wanaolipia debe akina Mbowe, wote system hao, hawana lolote.

Naona unakwepesha makusudi kiujanja mjadala wa Katiba Mpya, unataka wote tutembee na kauli mbiu ya kipenzi chenu "Katiba Mpya isubiri".

Huu utoto wenu mtafute pakuupeleka.
 
Unauliza jibu?

Waulize walioikimbia nchi na kuwa wakimbizi kwa wazungu walikikimbia nini?

Kuna wanasiasa, wafanya biashara walioikimbia nchi, umejiuliza kwanini?

Suala la katiba mpya linatumiwa kufunga watu midomo tu. Hao wanaolipia debe akina Mbowe, wote system hao, hawana lolote.

Katiba siyo inayoendesha nchi, katiba ni chombo tu kinachotumiwa kukufanya uwe mtumwa daima. Wenyewe walioanzianzisha hizo katiba hawana habari nazo. Ni ujinga tiu.

Watanzania walio wengi, walidhani wanapelekwa shlue wafutwe ujinga, hawakuelewa kuwa wanapelekwa shule wajazwe ujinga. Nashukuru sana wazee wetu sisi Waislam kung'ang'ana kutupeleka madrassa kuanzia wadogo, ndio "chekechea zetu, walituokoa na kuwa "brain washed" na hata wale tuliopelekwa shule za secular hazikutuumiza sana bongo zetu kuwa completely brain washed mpaka zikawa dead kama wajinga wengi waliojazwa ujinga tunavyowaona humu.
Ona huyu nae, enzi za Magufuli uliufyata kabisa
 
Tunasikia tu maridhiano lakini hatuambiwi juu ya mfarakano uliopo?

Huyu mwanasheria mkuu wa serikali anahusika vipi?
View attachment 2233664
Na kesi za kubambikia,za baada na kabla ya uchaguzi Kwa wanachadema pamoja na kutofunguliwa kesi Kwa shambulio la makamu mwenyekiti,yote hayo unaona hayahitaji maridhiano,achilia mbali waliopotea na wasiojulikana walipo.Kama swali lako SII la kinaa basi pengine huna macho masikio pengine hata akili🤔
 
Hata haieleweki mkuu wengine tunaona mapicha picha tu na maclip watu wanakutana huko kwa miavuli ya vyama na serikali lakini wananchi hawaambiwi kilichojadiliwa wala muafaka wenyewe.

Hatuambiwi nini kilitokea kupelekea hayo maridhiano.

Watambue kwamba vyama na serikali sio mali yao binafsi hivyo wanavyokutana ni kwa niaba yetu sisi wananchi ambao ndio wenye mamlaka yote.

Wanapaswa watuambie nini kinaendelea na sio kujibinafsishia vyama na serikali.

CCM sijui ni kwa vikao gani vya chama lilipitishwa azimio la kufanya maridhiano na CHADEMA.

Na CHADEMA sijui ni kwa vikao gani vya chama chao lilipitishwa azimio la kufanya maridhiano na CCM.

Kinachoonekana hapo ni utashi tu wa viongozi wa hivyo vyama jambo ambalo sio sahihi kwani hivyo vyama si mali yao binafsi bali ya wanachama hivyo maamuzi yoyote ya chama yanapaswa kutokana na vikao halali vya chama ambapo wanachama wanashirikishwa na wote kuridhia.
Sasa suburiri mliopelekea Hadi maridhiano yanatafutwa Kwa kesi michongo,uonevuna manyanyasi Kwa wengine,hayo mnayoona ni Kuni za kuwabanika zinaandaliwa Kwa ajili yenu🤸🎺
 
..Ajenda zilizobebwa na Chadema kikao na Ikulu
👉 Katiba Mpya
👉 Tume Huru ya Uchaguzi
👉 Zuio la mikutano ya Hadhara
👉 Makovu ya uchaguzi 2020
👉 Wabunge haramu 19
👉 Ruzuku
👉 Usawa wa vyama vya siasa
👉 Wakimbizi wa Kisiasa
Tumetekeleza WAJIBU, Utekelezaji unabaki KWAO.
 
Tunasikia tu maridhiano lakini hatuambiwi juu ya mfarakano uliopo?

Huyu mwanasheria mkuu wa serikali anahusika vipi?
View attachment 2233664
Nikisoma hoja za Mataga humu. Yaonyesha hampendi aina ya siasa za mama za kuuma na kupuliza .

Wao wenyewe ofisi kuu wanajua walivyorudi Madarakani 2020 . Wanajua walichofanya . Kama huamini, basi utafute ukweli kujiridhisha
 
Sasa suburiri mliopelekea Hadi maridhiano yanatafutwa Kwa kesi michongo,uonevuna manyanyasi Kwa wengine,hayo mnayoona ni Kuni za kuwabanika zinaandaliwa Kwa ajili yenu🤸🎺
Kama maridhiano yanahusisha vyama vya CCM na Chadema ni vikao gani vya vyama hivyo vyama vimetambua haja ya kuwepo kwa maridhiano.

Kufanyika kwa hayo maridhiano.

Agenda za kujadiliwa.

Au ni baada ya kukutana tu Samia na Mbowe wakaamua yafanyike hayo bila kushirikisha vyama vyao??

Huko ni kuburuzana na ni dalili za udikteta.

Maazimio yoyote ya vyama yanapaswa kufanyika kwa vikao halali vya vyama na sio utashi tu wa wenye viti wa vyama husika.
 
Ni matendo na maneno ya nyie wenye chuki na visasi Kwa wengine
 
Kama maridhiano yanahusisha vyama vya CCM na Chadema ni vikao gani vya vyama hivyo vyama vimetambua haja ya kuwepo kwa maridhiano.

Kufanyika kwa hayo maridhiano.

Agenda za kujadiliwa.

Au ni baada ya kukutana tu Samia na Mbowe wakaamua yafanyike hayo bila kushirikisha vyama vyao??

Huko ni kuburuzana na ni dalili za udikteta.

Maazimio yoyote ya vyama yanapaswa kufanyika kwa vikao halali vya vyama na sio utashi tu wa wenye viti wa vyama husika.
Na Bado itawauma sana sana
 
Unauliza jibu?

Waulize walioikimbia nchi na kuwa wakimbizi kwa wazungu walikikimbia nini?

Kuna wanasiasa, wafanya biashara walioikimbia nchi, umejiuliza kwanini?

Suala la katiba mpya linatumiwa kufunga watu midomo tu. Hao wanaolipigia debe akina Mbowe, wote system hao, hawana lolote.

Katiba siyo inayoendesha nchi, katiba ni chombo tu kinachotumiwa kukufanya uwe mtumwa daima. Wenyewe walioanzianzisha hizo katiba hawana habari nazo. Ni ujinga tiu.

Watanzania walio wengi, walidhani wanapelekwa shlue wafutwe ujinga, hawakuelewa kuwa wanapelekwa shule wajazwe ujinga. Nashukuru sana wazee wetu sisi Waislam kung'ang'ana kutupeleka madrassa kuanzia wadogo, ndio "chekechea zetu, walituokoa na kuwa "brain washed" na hata wale tuliopelekwa shule za secular hazikutuumiza sana bongo zetu kuwa completely brain washed mpaka zi kawa dead kama wajinga wengi waliojazwa ujinga tunavyowaona humu.
Unachekesha sana mama. Ndio maana unaandika pumba kila siku kumbe bado madrasa ipo mkichwa.

Hao unadai walikimbia waliishi hapa Tanzania kwa muda wote huo unadhani kama kupatiwa madhara ilishindikana?
 
Back
Top Bottom