Ni mfarakano gani uliopo kati ya CHADEMA na Serikali mpaka Rais aitishe Maridhiano?

Ni mfarakano gani uliopo kati ya CHADEMA na Serikali mpaka Rais aitishe Maridhiano?

Kama Katiba haiongozi nchi sharia ndio inaongoza??

Gubu lako ni kwa sababu mahakama ya kadhi haitajwi kwenye katiba hii au mpya.
Unajiongoza mwenyewe na Allah pekee ndie wa kukuongoa utapomuhitaji.
 
Roho zinawauma kweli wachawi..mchawi siku szote hapendi amani na upendo. Mchawi siku zote anapenda kuona binadamu mwenzeke akiugua na kuteseka.
Hakuna mchawi mbaya kama mnafiki anakuua bila kujua we unacheka nae ye anamaliza kulegea kwa macho sio ungwana ila kunasiku mtazijua rangi zote katka macho hayo
 
Hata kwako kwenye dini yenu ya Allah mume wenu ndiye anawaongoza, sembuse nchi yenye watu milioni 60 ikose muongozo wa pamoja.
Unajiongoza mwenyewe na Allah pekee ndie wa kukuongoa utapomuhitaji.
 
Kama maridhiano yanahusisha vyama vya CCM na Chadema ni vikao gani vya vyama hivyo vyama vimetambua haja ya kuwepo kwa maridhiano.

Kufanyika kwa hayo maridhiano.

Agenda za kujadiliwa.

Au ni baada ya kukutana tu Samia na Mbowe wakaamua yafanyike hayo bila kushirikisha vyama vyao??

Huko ni kuburuzana na ni dalili za udikteta.

Maazimio yoyote ya vyama yanapaswa kufanyika kwa vikao halali vya vyama na sio utashi tu wa wenye viti wa vyama husika.
Wewe siyo mwanachama wala mjumbe,wala kiongozi wa cdm utajuaje kama hawakulijadili ktk vikao vyao. Lakini pia sisi ambao si wapenzi wa vyama mbona tumekuwa tukisikia viongozi wakitoka ktk vikao vyao wakiongelea maridhiano.

Nisikushangae Pengine unaweza ukawa ktk kundi lile la umoja part.
 
Back
Top Bottom