Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unazisema elimu za wazungu kuwa zinabrain wash wakati huo huo unatetea elimu ya madrasat ya waarabu ambayo pia ilikubrain wash...ningekuona wa maana ungejivunia elimu ya kabila lako.Unauliza jibu?
Waulize walioikimbia nchi na kuwa wakimbizi kwa wazungu walikikimbia nini?
Kuna wanasiasa, wafanya biashara walioikimbia nchi, umejiuliza kwanini?
Suala la katiba mpya linatumiwa kufunga watu midomo tu. Hao wanaolipigia debe akina Mbowe, wote system hao, hawana lolote.
Katiba siyo inayoendesha nchi, katiba ni chombo tu kinachotumiwa kukufanya uwe mtumwa daima. Wenyewe walioanzianzisha hizo katiba hawana habari nazo. Ni ujinga tiu.
Watanzania walio wengi, walidhani wanapelekwa shlue wafutwe ujinga, hawakuelewa kuwa wanapelekwa shule wajazwe ujinga. Nashukuru sana wazee wetu sisi Waislam kung'ang'ana kutupeleka madrassa kuanzia wadogo, ndio "chekechea zetu, walituokoa na kuwa "brain washed" na hata wale tuliopelekwa shule za secular hazikutuumiza sana bongo zetu kuwa completely brain washed mpaka zikawa dead kama wajinga wengi waliojazwa ujinga tunavyowaona humu.
Akili gani tena hii ?Watanzania walio wengi, walidhani wanapelekwa shlue wafutwe ujinga, hawakuelewa kuwa wanapelekwa shule wajazwe ujinga. Nashukuru sana wazee wetu sisi Waislam kung'ang'ana kutupeleka madrassa kuanzia wadogo, ndio "chekechea zetu, walituokoa na kuwa "brain washed" na hata wale tuliopelekwa shule za secular hazikutuumiza sana bongo zetu kuwa completely brain washed mpaka zikawa dead kama wajinga wengi waliojazwa ujinga tunavyowaona humu.
Hapana; kwenye mkutano huwa kuna mambo mengi ya kufurahisha kama vile vitafunio na vinywaji.
Kwani wewe Kila kitu unachojadili na mkeo rum lazima watoto wajue?Hata haieleweki mkuu wengine tunaona mapicha picha tu na maclip watu wanakutana huko kwa miavuli ya vyama na serikali lakini wananchi hawaambiwi kilichojadiliwa wala muafaka wenyewe.
Hatuambiwi nini kilitokea kupelekea hayo maridhiano.
Watambue kwamba vyama na serikali sio mali yao binafsi hivyo wanavyokutana ni kwa niaba yetu sisi wananchi ambao ndio wenye mamlaka yote.
Wanapaswa watuambie nini kinaendelea na sio kujibinafsishia vyama na serikali.
CCM sijui ni kwa vikao gani vya chama lilipitishwa azimio la kufanya maridhiano na CHADEMA.
Na CHADEMA sijui ni kwa vikao gani vya chama chao lilipitishwa azimio la kufanya maridhiano na CCM.
Kinachoonekana hapo ni utashi tu wa viongozi wa hivyo vyama jambo ambalo sio sahihi kwani hivyo vyama si mali yao binafsi bali ya wanachama hivyo maamuzi yoyote ya chama yanapaswa kutokana na vikao halali vya chama ambapo wanachama wanashirikishwa na wote kuridhia.
-Kwenye taasisi kuna mambo ya kiutendaji ambayo yanafanywa na Kamati Kuu au uongozi wa juu kwa kila siku (On daily basis) na kutolewa taarifa kwenye vikao vya Halmashauri kuu au Baraza KuuKama maridhiano yanahusisha vyama vya CCM na Chadema ni vikao gani vya vyama hivyo vyama vimetambua haja ya kuwepo kwa maridhiano.
Kufanyika kwa hayo maridhiano.
Agenda za kujadiliwa.
Au ni baada ya kukutana tu Samia na Mbowe wakaamua yafanyike hayo bila kushirikisha vyama vyao??
Huko ni kuburuzana na ni dalili za udikteta.
Maazimio yoyote ya vyama yanapaswa kufanyika kwa vikao halali vya vyama na sio utashi tu wa wenye viti wa vyama husika.
[emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1319]Naona unakwepesha makusudi kiujanja mjadala wa Katiba Mpya, unataka wote tutembee na kauli mbiu ya kipenzi chenu "Katiba Mpya isubiri".
Huu utoto wenu mtafute pakuupeleka.
Nyie waislam kina nani, Lipumba au nani you are more of the same....... Nashukuru sana wazee wetu sisi Waislam kung'ang'ana kutupeleka madrassa kuanzia wadogo, ndio "chekechea zetu, walituokoa na kuwa "brain washed" na hata wale tuliopelekwa shule za secular hazikutuumiza sana bongo zetu kuwa completely brain washed mpaka zikawa dead kama wajinga wengi waliojazwa ujinga tunavyowaona humu.
We unaamini Rais ndiyo kawaita au wao ndo wamejipendekeza!! Unadhani Rais na Ikulu ni kama huyo balozi wako wa nyumba 10Tunasikia tu maridhiano lakini hatuambiwi juu ya mfarakano uliopo?
Huyu mwanasheria mkuu wa serikali anahusika vipi?
View attachment 2233664
Unauliza jibu?
Waulize walioikimbia nchi na kuwa wakimbizi kwa wazungu walikikimbia nini?
Kuna wanasiasa, wafanya biashara walioikimbia nchi, umejiuliza kwanini?
Suala la katiba mpya linatumiwa kufunga watu midomo tu. Hao wanaolipigia debe akina Mbowe, wote system hao, hawana lolote.
Katiba siyo inayoendesha nchi, katiba ni chombo tu kinachotumiwa kukufanya uwe mtumwa daima. Wenyewe walioanzianzisha hizo katiba hawana habari nazo. Ni ujinga tiu.
Watanzania walio wengi, walidhani wanapelekwa shlue wafutwe ujinga, hawakuelewa kuwa wanapelekwa shule wajazwe ujinga. Nashukuru sana wazee wetu sisi Waislam kung'ang'ana kutupeleka madrassa kuanzia wadogo, ndio "chekechea zetu, walituokoa na kuwa "brain washed" na hata wale tuliopelekwa shule za secular hazikutuumiza sana bongo zetu kuwa completely brain washed mpaka zikawa dead kama wajinga wengi waliojazwa ujinga tunavyowaona humu.
Wakubwa wenu huko chadema wameona umuhimu wa press na wamefanya hivyo.CCM mnabana bure tu mwishoni lazima mtaachia, Kwa dunia ya sasa kiongozi wa nchi ni aidha aongoze kidikteta atengwe na dunia au Afanye siasa za ushindani akaribishwe mezani na jamii za kimataifa. Uamuzi ni wenu kama mna jeuri! Wakubwa wanalijua hili, sio nyie wanaCCM tawi la mitandaoni.
Huwezi kwenda kutembeza bakuli kila siku halafu ndani unaharass wapinzani wako kisiasa wakati umetia saini mikataba ya kimataifa ya haki za binadamu. Inabidi ufanye siasa zenye akili uweze kuwapiga chenga za mwili wapinzani wako ila sio zile siasa za kuwapiga marungu kila kukicha. Sera za kimataifa zinataka hivyo, fanya tofauti uwekewe vikwazo, unyimwe mikopo au upewe mikopo yenye masharti magumu sana. Tz sio Russia kuweza kuwavimbia wakubwa! katika hili CDM iendelee kuchanga karata zake vizuri, wako pazuri ni suala la muda tu.
Kupata nafasi ya kuongoza nchi ni hatua, hatupaswi kubeza hatua zinazopigwa na CDM kuelekea huko, Kwa kuanza 2025 tupate wabunge wengi wa upinzani bungeni ili CCM mpunguze ujinga kule.
press ni muhimu.-Kwenye taasisi kuna mambo ya kiutendaji ambayo yanafanywa na Kamati Kuu au uongozi wa juu kwa kila siku (On daily basis) na kutolewa taarifa kwenye vikao vya Halmashauri kuu au Baraza Kuu
-Lakini wakati mwingine inawezekana Halmashauri Kuu au Mikutano Mikuu ya Vyama vyao vilishajadili au vikishapewa taarifa siku za nyuma,
-Siyo kila yanayojadiliwa kwenye vikao vya Vyama,yatolewe kwenye jamii (public),kuna masuala nyeti na mengine bado yapo kwenye mchakato, hayatolewi kwenye public.
- viongozi wa juu wa CCM na CHADEMA wanadhamira njema,tuwapongeze badala ya kubeza juhudi zao za kufanya maridhiano.
-Ni ukweli usiopingika,kuna Wakati Viongozi wa CHADEMA wamepata misukosuko mingi,ukilinganisha na viongozi wa Vyama vingine vya upinzani.
-Ni busara na Hekima za viongozi wa juu wa CCM na CHADEMA kuamua kukaa kwenye meza ya maridhiano,kama Serikali ya Awamu ya sita inavyohimiza.
-Siasa siyo uadui na Wala siyo chuki, yalipita so ndwele tugange yajayo , sisi sote ni ndugu moja na Tanzania ni yetu sote.
Iwe katiba mpya au ya zamani, mimi naamini haiwezi kunipa mafanikio. Mafanikio ya maisha ntajifanyia mwenyewe kwa kufata katiba ya Allah, isobadilika, isiyoyumba kwa muda. Al Qur'an.Naona unakwepesha makusudi kiujanja mjadala wa Katiba Mpya, unataka wote tutembee na kauli mbiu ya kipenzi chenu "Katiba Mpya isubiri".
Huu utoto wenu mtafute pakuupeleka.
Ma shaa Allah umahaba siuanzi nnao ndani ya damu yangu. Cha kwanza kwangu ni Uislam wangu, cha pili ni Uislam wangu, Cha tatu ni Uislam wangu.Umeshaanza ule ukahaba wako wa udini wewe ajuza