Ni mfarakano gani uliopo kati ya CHADEMA na Serikali mpaka Rais aitishe Maridhiano?

Madai ya siri na kali ni kupata mikopo zaidi
 
Unazisema elimu za wazungu kuwa zinabrain wash wakati huo huo unatetea elimu ya madrasat ya waarabu ambayo pia ilikubrain wash...ningekuona wa maana ungejivunia elimu ya kabila lako.
 
ila Mtanzania akiwa misukosuko haimfiki yeye na familia yake anayaona maisha kayapatia na anaeza kuuliza swali la kijinga kama wewe mleta uzi.

unakumbuka kama Alphonce Mawazo aliuliwa?
unakumbuka kama Josephine Mushumbuzi alipigwa Arusha mpaka damu zikamchuruzika?
unakumbuka kama kule Morogoro kuna kijana alipigwa risasi ya moto mchana peupe?
unakumbuka kama Lissu alikuwa afe na mpaka leo yuko uhamishoni?
yuko wapi Ben Saanane?
Akwilina je?

wenye akili wanaijua nguvu ya Chadema na umefika wakati sasa ccm iache kuwekeza kwenye damu za watu maana uwekezaji wa namna hii haujawahi kulipa
 
Akili gani tena hii ?
Yoda
 
Roho zinawauma kweli wachawi..mchawi siku szote hapendi amani na upendo. Mchawi siku zote anapenda kuona binadamu mwenzeke akiugua na kuteseka.
Hapana; kwenye mkutano huwa kuna mambo mengi ya kufurahisha kama vile vitafunio na vinywaji.
 
Kwani wewe Kila kitu unachojadili na mkeo rum lazima watoto wajue?
 
-Kwenye taasisi kuna mambo ya kiutendaji ambayo yanafanywa na Kamati Kuu au uongozi wa juu kwa kila siku (On daily basis) na kutolewa taarifa kwenye vikao vya Halmashauri kuu au Baraza Kuu
-Lakini wakati mwingine inawezekana Halmashauri Kuu au Mikutano Mikuu ya Vyama vyao vilishajadili au vikishapewa taarifa siku za nyuma,
-Siyo kila yanayojadiliwa kwenye vikao vya Vyama,yatolewe kwenye jamii (public),kuna masuala nyeti na mengine bado yapo kwenye mchakato, hayatolewi kwenye public.
- viongozi wa juu wa CCM na CHADEMA wanadhamira njema,tuwapongeze badala ya kubeza juhudi zao za kufanya maridhiano.
-Ni ukweli usiopingika,kuna Wakati Viongozi wa CHADEMA wamepata misukosuko mingi,ukilinganisha na viongozi wa Vyama vingine vya upinzani.
-Ni busara na Hekima za viongozi wa juu wa CCM na CHADEMA kuamua kukaa kwenye meza ya maridhiano,kama Serikali ya Awamu ya sita inavyohimiza.
-Siasa siyo uadui na Wala siyo chuki, yalipita so ndwele tugange yajayo , sisi sote ni ndugu moja na Tanzania ni yetu sote.
 
CCM mnabana bure tu mwishoni lazima mtaachia, Kwa dunia ya sasa kiongozi wa nchi ni aidha aongoze kidikteta atengwe na dunia au Afanye siasa za ushindani akaribishwe mezani na jamii za kimataifa. Uamuzi ni wenu kama mna jeuri! Wakubwa wanalijua hili, sio nyie wanaCCM tawi la mitandaoni.

Huwezi kwenda kutembeza bakuli kila siku halafu ndani unaharass wapinzani wako kisiasa wakati umetia saini mikataba ya kimataifa ya haki za binadamu. Inabidi ufanye siasa zenye akili uweze kuwapiga chenga za mwili wapinzani wako ila sio zile siasa za kuwapiga marungu kila kukicha. Sera za kimataifa zinataka hivyo, fanya tofauti uwekewe vikwazo, unyimwe mikopo au upewe mikopo yenye masharti magumu sana. Tz sio Russia kuweza kuwavimbia wakubwa! katika hili CDM iendelee kuchanga karata zake vizuri, wako pazuri ni suala la muda tu.

Kupata nafasi ya kuongoza nchi ni hatua, hatupaswi kubeza hatua zinazopigwa na CDM kuelekea huko, Kwa kuanza 2025 tupate wabunge wengi wa upinzani bungeni ili CCM mpunguze ujinga kule.
 
Naona unakwepesha makusudi kiujanja mjadala wa Katiba Mpya, unataka wote tutembee na kauli mbiu ya kipenzi chenu "Katiba Mpya isubiri".

Huu utoto wenu mtafute pakuupeleka.
[emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1319]
 
Nyie waislam kina nani, Lipumba au nani you are more of the same.
 
Tunasikia tu maridhiano lakini hatuambiwi juu ya mfarakano uliopo?

Huyu mwanasheria mkuu wa serikali anahusika vipi?
View attachment 2233664
We unaamini Rais ndiyo kawaita au wao ndo wamejipendekeza!! Unadhani Rais na Ikulu ni kama huyo balozi wako wa nyumba 10

Muwe mnatumia akili, kila mtu anataka kazi ili apate pesa aendeshe maisha, watu wanaenda kuomba kazi ili maisha yaendelee nyie mnajidanganya eti wapigania haki, haki ipi? Hakuna mwanasiasa anayehangaika na maisha yako isipokua ya kwake mwenyewe
 
Kama Katiba haiongozi nchi sharia ndio inaongoza??

Gubu lako ni kwa sababu mahakama ya kadhi haitajwi kwenye katiba hii au mpya.
 
Wakubwa wenu huko chadema wameona umuhimu wa press na wamefanya hivyo.

Kile sio kikao cha harusi mkuu.

Kile ni kikao cha vyama na wao kama viongozi wamebeba dhamana za watu wanaowaongoza ambao wanahitaji kujua nini kinajadiliwa.
 
press ni muhimu.

Chama sio mali ya kiongozi.
 
Magufuli aliua watu wengi sana..CCM pamoja na Chadema, ACT hata CUF
Ndio maana hata haya maridhiano yanahusu vyama vyote na sio CDM pekee
 
Naona unakwepesha makusudi kiujanja mjadala wa Katiba Mpya, unataka wote tutembee na kauli mbiu ya kipenzi chenu "Katiba Mpya isubiri".

Huu utoto wenu mtafute pakuupeleka.
Iwe katiba mpya au ya zamani, mimi naamini haiwezi kunipa mafanikio. Mafanikio ya maisha ntajifanyia mwenyewe kwa kufata katiba ya Allah, isobadilika, isiyoyumba kwa muda. Al Qur'an.

Niubadilishe mjadala kwanini? Itanisaidia nini mimi? Mimi nipo hapa kwa mtazamo na maoni yangu kama ilivyo mwengone yeyoyte, ukiyapenda bofya like, hukuyapenda sepa tu.

Kama umeona niliyoyaandika yamekuingia na yanataka kukubadilisha, elewa kuwa ukweli umekuingia. Fata nafsi yako inavyokuelekeza, mradi ikuelekeze kwenye mema tu. Muhimu sana kuliko maneno ya yeyote yule.
 
Umeshaanza ule ukahaba wako wa udini wewe ajuza
Ma shaa Allah umahaba siuanzi nnao ndani ya damu yangu. Cha kwanza kwangu ni Uislam wangu, cha pili ni Uislam wangu, Cha tatu ni Uislam wangu.

Makahaba wenye ukahaba wa kutupwa, mmewapachika kizazi cha Yesu. wapo kwenye biblia, isome utawakuta humo, bisha nikuwekee mistari ya biblia! Kumbuka tu, huwa sikisii na sijasome ujinga kama wewe.

Upo hapo ulipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…