Unajiongoza mwenyewe na Allah pekee ndie wa kukuongoa utapomuhitaji.Kama Katiba haiongozi nchi sharia ndio inaongoza??
Gubu lako ni kwa sababu mahakama ya kadhi haitajwi kwenye katiba hii au mpya.
Kweli tuna mfumo dume. Naona akina mama watatu tu wakiwemo Rais. Vipi?Tunasikia tu maridhiano lakini hatuambiwi juu ya mfarakano uliopo?
Huyu mwanasheria mkuu wa Serikali anahusika vipi?
View attachment 2233664
Hakuna mchawi mbaya kama mnafiki anakuua bila kujua we unacheka nae ye anamaliza kulegea kwa macho sio ungwana ila kunasiku mtazijua rangi zote katka macho hayoRoho zinawauma kweli wachawi..mchawi siku szote hapendi amani na upendo. Mchawi siku zote anapenda kuona binadamu mwenzeke akiugua na kuteseka.
Nadhani kutumia neno meridhiano ni matumizi mabaya na lughaTunasikia tu maridhiano lakini hatuambiwi juu ya mfarakano uliopo?
Huyu mwanasheria mkuu wa Serikali anahusika vipi?
View attachment 2233664
Unajiongoza mwenyewe na Allah pekee ndie wa kukuongoa utapomuhitaji.
Wewe siyo mwanachama wala mjumbe,wala kiongozi wa cdm utajuaje kama hawakulijadili ktk vikao vyao. Lakini pia sisi ambao si wapenzi wa vyama mbona tumekuwa tukisikia viongozi wakitoka ktk vikao vyao wakiongelea maridhiano.Kama maridhiano yanahusisha vyama vya CCM na Chadema ni vikao gani vya vyama hivyo vyama vimetambua haja ya kuwepo kwa maridhiano.
Kufanyika kwa hayo maridhiano.
Agenda za kujadiliwa.
Au ni baada ya kukutana tu Samia na Mbowe wakaamua yafanyike hayo bila kushirikisha vyama vyao??
Huko ni kuburuzana na ni dalili za udikteta.
Maazimio yoyote ya vyama yanapaswa kufanyika kwa vikao halali vya vyama na sio utashi tu wa wenye viti wa vyama husika.