Ni miaka 17 tuuu!

Ni miaka 17 tuuu!

Aombe uchumba alafu wasubirie mwakani au hata minne mitano mbeleni kufunga ndoa kama tatizo ni miaka tu!‘!Maana kama anampenda kweli sidhani kama hilo litashindikana!!

Ila kama nia yake ilikua kumchezea mtoto wa watu aachane nae!!Aanze kwa kuhakikisha mahusiano ya chumbani anasitisha asap....alafu avumilie muda kidogo upite ahakikishe binti
hajaambulia ujauzito kama walikua
haazingatii kinga.Baada ya hapo aanze vimbwanga vya hapa na pale ili binti ndo amuache yeye kumuepushia mtoto wa watu maumivu kwa kiasi flani!!

Next time asiingie tu kichwa kichwa....atanyea debe!!!

hii technique hata mimi imeishanisaidia sana kuwamwaga mademu kadhaa bila misukosuko mingi..

jamani ushauri huu wa lizzy uzingatiwe tafadhari, ukimchoka demu usimwache bila kumchokoza kwanza. mfanyie vituko vya makusudi na ujifanye huambiliki hata kwa kikombe cha babu hadi mwenyewe aseme basi, moyoni mwake atajisikia amani akiona kuwa yeye ndiye kakupiga chini kumbe we ndio hivyo ulishammwaga zamaniiiiiii

waacheni wawe wanajifariji na tu-feelings kama huto, after all ulishajifaidia utamu wake so hakuna kinachoharibika hapo. inasaidia sana kuwaondolea maumivu, si mnajua tena jamani wanawake waliumbwa kama chakula yetu?
 
we maria wewe...umejuaje? 17 inasemekana siku hiz vikonzi hawana labda 15.

Mmmh! Yaani mnajua kuanzia miaka hadi size ya vikonzi? Makubwa....!! Ndo mjue sasa kumbe vingine vinaangaliwa na vingine vinachunguzwa but msela ye aliangalia tu, sometime physical appearence huwa inadanganya.
 
Lizzy unaona wanavojisifu? Umeona Mtu m1 anavojigamba na midharau yake? Yaani pamoja na maovu yote hayo bado anajisifu na kumwita mwanamke eti chakula yake, si dharau hii jamani? Itafikia kipindi itakuwa unyama unyamaaa!! Haya wao waendelee tu kutumia na kutupa ila mwisho wa siku mi nasema ITAFAHAMIKA TU!
 
Namuona....mi nimesema vile tu ili msichana asiendelee kumng'ang'ania mtu asimtaka na wakati bado umri upo wa hayo yote na zaidi kumbe mwenzetu ndo kawaida yake!!!No wonder wanawake na sisi tumekua wasanii siku hizi!!
 
hii technique hata mimi imeishanisaidia sana kuwamwaga mademu kadhaa bila misukosuko mingi..

jamani ushauri huu wa lizzy uzingatiwe tafadhari, ukimchoka demu usimwache bila kumchokoza kwanza. mfanyie vituko vya makusudi na ujifanye huambiliki hata kwa kikombe cha babu hadi mwenyewe aseme basi, moyoni mwake atajisikia amani akiona kuwa yeye ndiye kakupiga chini kumbe we ndio hivyo ulishammwaga zamaniiiiiii

waacheni wawe wanajifariji na tu-feelings kama huto, after all ulishajifaidia utamu wake so hakuna kinachoharibika hapo. inasaidia sana kuwaondolea maumivu, si mnajua tena jamani wanawake waliumbwa kama chakula yetu?

Na nyie ni chakula cha kina nani????
 
Na nyie ni chakula cha kina nani????

haha, mi nilidhani umeishapumzika na hutasoma hapa, kumbe?

but anko wangu aliwahi kuniusia kuwa a man has only one bomba for himself but a woman has two bombaz, one for herself and the other for a man! kuna ukweli hapo sister lizzy? embu nipe shule kidogo hapo dadangu huenda nikaanza kubadili mtazmo wangu juu ya ma-she
 
Hahahah...nipo sana!1
Hapo kwenye nyekundu sijakusoma....fafanua kidogo!
 
Nadhani kumkimbi madam ameshaliharibu ndiyo itamletea matatizo zaidi, cha muhimu ajiweke karibu na huyo Binti na amweleweshe taratibu madhara (Jamaa) atakayopata iwapo sheria ikishirikishwa, amdanganye kuwa wavute muda ili Binti akifikisha Umri wa ndoa waoane. Asimkimbie manake anampa uwezekano wa kwenda kwenye vyombo vya sheria kumshtaki kwamba amembaka au amemshawishi ku-du naye ilhali yeye (Binti) bado mtoto....

Ukitaka kuvunja mahusiano na mwanamke usijenge Bifu naye kaka, manake ni rahisi sana kukuharibia... Sheria ipo upande wao hawa!!!
 
Haya bana, ila naona milango ya segerea inafunguliwa hivi....!!
 
Kukimbia sio suluhisho
waliweza kuelewana kila nyanja bila shida mpaka jamaa liliposhtuliwa na rafiki zake
swala la umri wa kuolewa wa huyo binti inawezekana............
huyo jamaa yako anaweza kumpeleka kwenye vikozi vya hapa na pale huyo binti
kama sijakosea sheria ya ndoa haijabadilika binti wa miaka 15 anastahili kuolewa.
inauma kuona binti anayestahili kuwa shule kutumbukia kwenye ndoa na mwanaume mwenye umri wa kumzaa.
sheria ingebadilika ili kuweza kuwasaidia mabinti kuolea wakiwa na umri mdogo
 
Heh! 35 kwa 17 hapana bwana. Ujana ale na nani eda aje akakalishe katoto ka watu.
 
JF eeeeeeeeee. Kuna watu hawajui hata hii kitu inatumiwa vipi! Husninyo huyu binti ni mzuri bana! Yaani akipita hata wewe unageuka! Ametu-discourage sana. Jamaa yangu siku za karibuni La Liga alikuwa hakosi bana. Kisa mama anataka kwenda club. Ha ha haaaaaaaaaaa kweli kupenda!
Easy! Amwoe mwakani
 
hahah, lizzy usiniangushe bwana, ina maana hujui kuwa ma-she wana line mbili mbili, tigo na voda?
Hahhahaha umepinda wewe....nwy bado hairuhusu kumtumia mwenzako unless nae anakutumia!!
 
Hahhahaha umepinda wewe....nwy bado hairuhusu kumtumia mwenzako unless nae anakutumia!!

we lizzy, usidanganye watoto wanaopita hapa jamvini! mbona kuna wanaotumiwa kwa kuwa tu wameshindwa kusema no mbele ya watu amabao hata hawawajui majina. hujui mwanaume anaweza kuwa na idadi yoyote ya wanawake kadiri ya mahitaji yake? mwanamke uwezo huo atautoa wapi?

anyway, mkulu alisema ili ule nawe lazima nawe uliwe, so, na wewe umesimamia kanuni hii? mambo ya wakwere waachie wenyewe bwana we hutayaweza!
 
umri wa mwanaume+miaka7 halafu total igawanye kwa 2!....thats the minimum
 
Jamaa kapiga mzigo kachoka ndo anajidai kadogo, hakuna muoaji hapo.
We ndo unasema haoi! Yuko serious kabisa jamaa anataka kuoa nyie mnasema nini! Kaja kwa wazee wa kaya tukaseme kwao kuwa kuna jamaa kaona UA anataka kulichuma!
 
Back
Top Bottom