sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,406
- 19,375
Nilikuwepo Atown 2011 hadi 2016 -
Maendeo niliyoishi ni Njiro mitaa ya double B karibu na kituo cha polisi, Lemara, Relini karibu na bwawa la maji taka na Njiro Tanesco.
hali ya usafiri imeboreshw ? Muda huo wote nilikuwa napanda vifodi na hiace, sikuhizi kuna mabadiliko ? ile stendi kuu ya mabasi nimeisacha imechoka kiasi kwamba nilikuwa naikwepa naenda kupanda basi kule dar express, sikuhizi imeboreshwa au wamejenga nyingine ?
Uhalifu umezidi au umeshuka? Kipindi nipo A town uhalifu angalau ulikuwa umeshuka, sikuhizi vipi ?
Entertainment vp? nilikuwa napenda kwenda kucheki muviz pale Supermarket ya Njiro, Basketball nilikuwa naenda kukipiga pale uhasibu... sikuhizi hali ipoje?
Viwanja vya bata je? Kujirusha nilikuwa napenda kwenda ghorofani Aq pale stendi kuu ya mabasi ya mkoani, kuna club moja ya kisasa kubwa tu ilikuwepo kule Moshono ila ilikuwa haijazi sijui kwanini, sikuhizi vipi ?
Mzunguko wa pesa umekua? Mji niliuacha ukiwa na mzunguko wa pesa kidogo, wenye pesa wengi walikuwa wanaziingizia huko nje ya mji mererani ama mbugani, kwa sasa mji una mzunguko wa pesa?
Hali ya siasa je? enzi hizo Atown ni ya Lema na navyosema ni yake ni yake kweli, watu huwammbii kitu kuhusu Lema, kwa sasa hali ipoje ?