sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,406
- 19,375
so vp sikuhizi eneo la tukio limehamia wapi, hivi kwanini ile club ya kule Moshono haichangamkiwi wakati ina eneo kubwa sana na ya kisasa ?Aq ilishakufa kifo Cha Mende, wajinga wapuuzi kwenye lift wameandika namba 1 kumbe club ipo ghorofa ya mwisho kabisa
Nasikia ndio kiwanja kilichoisimamisha Atown kwa sasa, ipo pande zipi hio picnicNimeinga Arusha hivi punde nakula ugali samaki hapa Picnic ni bar yenye tv hadi chooni mizambwanda kama yote karibuni niko kwa nje hadi saa nne.
Kuna kokoriko wanauza kreti 1600 kwa sikuso vp sikuhizi eneo la tukio limehamia wapi, hivi kwanini ile club ya kule Moshono haichangamkiwi wakati ina eneo kubwa sana na ya kisasa ?
Picnic hapo kuanzia miaka ya 2000 kama mwanamke Huna Tako huwezi kupewa ajira hapo hata ukalogeNimeinga Arusha hivi punde nakula ugali samaki hapa Picnic ni bar yenye tv hadi chooni mizambwanda kama yote karibuni niko kwa nje hadi saa nne.
Uwanja wa Shekh Amri Abeid kwa juu kidogo au ulizia Shivazi.Nasikia ndio kiwanja kilichoisimamisha Atown kwa sasa, ipo pande zipi hio picnic
Dah, kuna pub pale barabara ya Mianzini kuna jamaa alinipeleka ni shida, vijana huwa wana makeke wanakuletea vinywaji na chalula huku wanakimbia, mara wanateleza, n.k ila fungakazi ipo kwa pisi za kike, ni zimefungasha vibaya mno, vp unapapata?Picnic hapo kuanzia miaka ya 2000 kama mwanamke Huna Tako huwezi kupewa ajira hapo hata ukaloge
Triple ADah, kuna pub pale Sakina kama sio Mianzini kuna jamaa alinipeleka ni shida, vijana huwa wana makeke wanakuletea vinywaji na chalula huku wanakimbia, mara wanateleza, n.k ila fungakazi ipo kwa pisi za kike, ni zimefungasha vibaya mno, vp unapapata?
Matako bar mianziniDah, kuna pub pale barabara ya Mianzini kuna jamaa alinipeleka ni shida, vijana huwa wana makeke wanakuletea vinywaji na chalula huku wanakimbia, mara wanateleza, n.k ila fungakazi ipo kwa pisi za kike, ni zimefungasha vibaya mno, vp unapapata?
Ni noma hapo, Ila yule aliejenga Club D kule Moshona mbali sana, angeiweka maeneo ya mianzini hapo ingekuwa inajaza si mchezoTriple A
ewaaa,Matako bar mianzini
Zipo ila watu hawazitumii sanaewaaa,
hivi nasikia sikuhizi kuna bajaji hapo town
Arusha mji wa ajabu sana huo, Nakumbuka nilikuwa sioni hata watu wanaoendesha basikeli.Zipo ila watu hawazitumii sana
Asante kwa mchango,Hapa central police mawneo ya kalolen kuna klab mopao sio mbaya sana!
Ukirudi jirani hapo kuna uzunguni city park ina misosi mujarabu kbs..
Arusha live hapo mitaa ya shivaz pia pako vzr panajaza sana..
Hizo ndo sehem mupya mupya kidogo hapo chugastani.
so vp sikuhizi eneo la tukio limehamia wapi, hivi kwanini ile club ya kule Moshono haichangamkiwi wakati ina eneo kubwa sana na ya kisasa ?
Umeshusha vyuma, kongole/Siku chache zilizopita nilikuwa Arusha, haya ndio niliweza kuyaona nikilinganisha na miaka 7 iliyopita:
-Hiace (Vifodi) bado zimejaa mjini na nyingi ni chakavu, hakuna mpya.
-Boda boda bado zimejaa mjini (boxer zimeongezeka)
-Stendi kuu ya mabasi ipo palepale lakini imechoka kuliko choo cha walevi wa gongo (dadii) wa matejoo.
-Uhalifu ni ule ule (sina uhakika kama umepungua au umeongezeka)
-Viwanja vya bata vingi ni vile vile, vingi vimedorora, vichache vimekufa na vipya ni vichache sana.
-Starehe kubwa ni umalaya na Pombe, ufuska umeshika kasi na pombe kali zinauzwa kona zote, usiku na mchana, vijana kwa wazee, wadada kwa wamama.
-Njiro imejaa makazi ya watu, kumekuwa eneo mchanganyiko sana na holela, uswahili umeongeza, bar na glocery kila baada ya nyumba mbili. Halina tofauti na Sinza ya Dar, panafanana kama mapasha.
-Mji amepanuka sana kuelekea Usa river, Kisongo, Kiseriani, maeneo yanayopakana na Bypass road (Barabara ya East Africa)
-Wahamiaji (wakuja) wameongeza zaidi huku wenyeji (waarusha) wakipungua.
-Mzunguko wa pesa umepungua sana.