Pepo Punda
Member
- Nov 30, 2018
- 19
- 53
Wewe ni Fish's shoes au nakufananisha?Naomba mwenye namba ya watengenezaji wa hivi vifungashio anipe.
Wewe ni Fish's shoes au nakufananisha?
Daah hio kitu kna jiran yetu alkua anatumiaga sasa kuna day ameisahau njee kwake mm nikaipitia na kuingia choro kuonja, daah baada ya kutia tu mdomoni nilihisi km kitu kikali kinanichimba ktk fizi na mdomo km unaanguka chini hiviAliwahi kuwafanya wengine wampende na hata wengine wajute kumfahamu...... Aisee tulimtambua kama kubeli, je ulimtumia?
Twambie ulipatwa na mkasa gani kisa kubwia hii
View attachment 1208031
Hii kitu kuna mate wangu saivi mkuu Wa mkoa alitumia baada ya kuvutiwa na mates wengine wahindi walivokuwa wanazitumia tukiwa skuli, jamaa aliachia haja kubwa live bila chenga....jamaa alijifanya mwamba akaibugia yote kwa pupa kuonyesha alivo kidume.Aliwahi kuwafanya wengine wampende na hata wengine wajute kumfahamu...... Aisee tulimtambua kama kubeli, je ulimtumia?
Twambie ulipatwa na mkasa gani kisa kubwia hii
View attachment 1208031