Imeuwa sana hii kansa ya koo nilimpoteza binamu yangu
Hii nliwahi kuijaribu kipindi na miaka 15, siku hio nlipoteza fahamu kuanzia saa 5 asubuhi mpaka saa 12 jioni. Ile nazinduka nikawahi fasta kwenda kuvaa nguo za shule najua nshachelewa darasani (Bi mkubwa akaniuliza vipi leo umewehuka). Ni balaaa
Hii kitu kuna mate wangu saivi mkuu Wa mkoa alitumia baada ya kuvutiwa na mates wengine wahindi walivokuwa wanazitumia tukiwa skuli, jamaa aliachia haja kubwa live bila chenga....jamaa alijifanya mwamba akaibugia yote kwa pupa kuonyesha alivo kidume.
Mheshimiwa RC nakusabahi kutoka namanyere hapa!
Noma sana hii ngoma
Kuna jamaa anaitafuna hiyo akiongea utafikiri anakoroma
Mbadala wake ni upi?Waindi karibu wote wapo kwenye dozi ya kuber japo sasa haipo kuna mbadala wake plus na ugoro