NI MIAKA SASA HATUPO NAYE

NI MIAKA SASA HATUPO NAYE

Pepo Punda

Member
Joined
Nov 30, 2018
Posts
19
Reaction score
53
Aliwahi kuwafanya wengine wampende na hata wengine wajute kumfahamu...... Aisee tulimtambua kama kubeli, je ulimtumia?

Twambie ulipatwa na mkasa gani kisa kubwia hii
images.jpeg
 
Aliwahi kuwafanya wengine wampende na hata wengine wajute kumfahamu...... Aisee tulimtambua kama kubeli, je ulimtumia?

Twambie ulipatwa na mkasa gani kisa kubwia hii
View attachment 1208031
Daah hio kitu kna jiran yetu alkua anatumiaga sasa kuna day ameisahau njee kwake mm nikaipitia na kuingia choro kuonja, daah baada ya kutia tu mdomoni nilihisi km kitu kikali kinanichimba ktk fizi na mdomo km unaanguka chini hivi
Hapo hapo nilitema na kwenda bombani kusafisha kinywa
Mpaka hii leo cjawahi tena kujaribu kuonja
 
Ilinikaba hadi nikaiona jehanam hii hapa baada ya kumeza mate yake!! Nikaona dunia inazunguka kwa kasi sana hadi sasa naamin siku dunia ikisimama ghafla kujizungusha kila kitu kitatupwa kusikojulikana maana aio kwa kizunguzungu kile,namshukuru Mungu sijawahi kuitamani tena na kuniondolea hamu ya kula ugoro au pariki km vijana wengi walivyotumbukia ktk hivo vitu.
 
Enzi hizo hapa mtaani kwetu Kama hutumii Guberi wewe siyo Chakibobu
 
Hii kitu nimetumia sana yani sana na sasa hivi na mibadala yaks mingi
 
Aliwahi kuwafanya wengine wampende na hata wengine wajute kumfahamu...... Aisee tulimtambua kama kubeli, je ulimtumia?

Twambie ulipatwa na mkasa gani kisa kubwia hii
View attachment 1208031
Hii kitu kuna mate wangu saivi mkuu Wa mkoa alitumia baada ya kuvutiwa na mates wengine wahindi walivokuwa wanazitumia tukiwa skuli, jamaa aliachia haja kubwa live bila chenga....jamaa alijifanya mwamba akaibugia yote kwa pupa kuonyesha alivo kidume.
Mheshimiwa RC nakusabahi kutoka namanyere hapa!
Noma sana hii ngoma
 
Back
Top Bottom