Ni miaka sasa niliacha kutazama habari kwa tv

Ni miaka sasa niliacha kutazama habari kwa tv

Kisesetusese

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
547
Reaction score
892
Siasa Imeacha nisiangalie habari yyt kwa tv.

Kuna mengi sana dhuluma na ufisadi. Kutowajibika kwa watendaji wa umma
 
Nasikia tu lisu heche na mengine kwa mbali.

Hakunaupimzani wa kweli. Ni bora wananchi wasimame wenyewe.

Viongozi walikuwa kina Nyerere pekee ambao wanawao tumesema nao shule za kawaida.

Wajukuu wao tunasoma nao.

Vitukuu wa tunasoma nao. Tunanunua nao gengeni. Maji yakikatika na wao yana katika.

Sio uchawi. Chawa wamezaliwa ni idara ileile ya puppet ni upuuzi mkubwa kushabikia upuppet
 
Hata mimi nimeacha kabisa. Kwa sehemu kubwa, habari ziko depressing na vipindi vya tamthilia vingi ukitafakari kwa kina vinapoteza muda wako ambao ungeweza kufanya mambo ya msingi.
 
Back
Top Bottom