zee_latown
JF-Expert Member
- Feb 21, 2026
- 677
- 1,234
Mkuu,Habari ni gani wakuu zangu?
mimi ni baba pia, nina watoto wawili wa kiume umri ni miaka 4 kwa 5. huwa sikai nao wanakaa kwa mama yao... so siku zalikizo ndo huwa wanakuja kwangu kunitembelea... napo wanakaa siku mbili au tatu halafu wanarudi kumalizia likizo kwa mama zao.
safari hii nikaona nijaribu kukaa nao mwenyewe atleast kwa miezi mitatu... najuta mno. wananikondesha. hawanipigi ngumi ila kuna namna wananipiga.
kwanza vitundu. yaani tv yangu vimeshaharibu hii ni mara ya nne.
fridge napo vinaelekea kuiharibu
haviskii haviambiliki... ukivikemea vinalia halafu baada ya muda vinarudia yale yale.
vikianza kupigana kamoja kakipigwa kanatoa sauti kaliiii yaai kama nilikua nimetulia nina ishu zangu mood yote inakata
hapo havijaanza kutaniana.. mmoja akitaniwa anaanza kulia anatoa sauti kali yaani ni kero mpaka kichwa kinauma.
daaah... malezi kazi... hebu acha niwarudishe kwanza nijifunze funze mbinu atleast youtube
Habari ni gani wakuu zangu?

Mimi naamnini maleze ya mtoto ni baba, na ili uwe baba bora lazima ujifunze kuwajibika kwa watoto wako.
Hizo changamoto unazo ziona leo ndio malezi waliyo yapata huko walipokua.
Kwakua haujachelewa, anza kuwalea vile unavyo ona inafaa na mwisho watafaham kwamba baba yae anapenda nini na hapendi nini.
Mkuu, hao watoto usikwepe kuwalea jitahidi sana usikimbie malezi ili watoto wako wawe vile unavyo tamani wawe.
Usije ukadanganyika na kutunza watoto ukadhani nisawa na kuwalea watoto mazeeee.....
Baba asie mlewa mwanawe, huyo nisawa na aliechangia mbegu tu, na kuchangia mbegu sio tafasiri ya kuzaa ama kumiliki mtoto, saaana anaweza akarithi jina tu kutoka kwako
Unakw3pa malezi??Habari ni gani wakuu zangu?

Nakuomba PM mkuu, yaani umeusuuza mtima wangu...😋Unakw3pa malezi??
Hao watt wako unasema wanaharibu tv yako??kwani unamtafutia nani hivyo vitu?
Na km unataka watt wawe vile unataka walee mwenyewe huo ndo umri mzuri, unless peleka huko wakiharibika usimlaumu mtu
😎🤣🤣🤣🤣Nakuomba PM mkuu, yaani umeusuuza mtima wangu...😋
Maashallah....😋😎🤣🤣🤣🤣
Au sio🤣🤣Maashallah....😋
Bwashee una mbinu adimu sana za kumnasa ndege tunduni 😱Nakuomba PM mkuu, yaani umeusuuza mtima wangu...😋
Sema watoto huwa niyeyusho sana😄😄Mkuu,
Hizo TV kuharibu wala si issue. TV unaweza kununua nyingine ukishindwa hata wana hapa tutakufanyia maarifa kama ni muhimu hivyo.
Mimi nafikiria zaidi usalama wa hao watoto. Nafikiria wanaweza kuangukiwa na hilo TV wakaumia au wakajiumiza kwa utundu wao wakati huwaangalii kwa ukaribu.
Hebu fanya maarifa hapo mambo yaende kwa usalama zaidi usije kujilaumu.
Wandewa tunatia ulimbo polepole hadi ana nasa...🤣Bwashee una mbinu adimu sana za kumnasa ndege tunduni 😱
Na mimi ngoja nikoki gobole langu.
Nakubali, kaka. Lazima atimize majukumu yake ipasavyo.Mimi naamnini maleze ya mtoto ni baba, na ili uwe baba bora lazima ujifunze kuwajibika kwa watoto wako.
Hizo changamoto unazo ziona leo ndio malezi waliyo yapata huko walipokua.
Kwakua haujachelewa, anza kuwalea vile unavyo ona inafaa na mwisho watafaham kwamba baba yae anapenda nini na hapendi nini.
Mkuu, hao watoto usikwepe kuwalea jitahidi sana usikimbie malezi ili watoto wako wawe vile unavyo tamani wawe.
Usije ukadanganyika na kutunza watoto ukadhani nisawa na kuwalea watoto mazeeee.....
Baba asie mlewa mwanawe, huyo nisawa na aliechangia mbegu tu, na kuchangia mbegu sio tafasiri ya kuzaa ama kumiliki mtoto, saaana anaweza akarithi jina tu kutoka kwako
Kwa hiyo una madogo wawili kutoka kwa wanawake wawili?halafu wanarudi kumalizia likizo kwa mama zao.
apo jamaa ni ngumu kuwacontrol, na mama yao kama amewadekeza hivSema watoto huwa niyeyusho sana😄😄