zee_latown
JF-Expert Member
- Feb 21, 2026
- 677
- 1,234
Habari ni gani wakuu zangu?
mimi ni baba pia, nina watoto wawili wa kiume umri ni miaka 4 kwa 5. huwa sikai nao wanakaa kwa mama yao... so siku zalikizo ndo huwa wanakuja kwangu kunitembelea... napo wanakaa siku mbili au tatu halafu wanarudi kumalizia likizo kwa mama zao.
safari hii nikaona nijaribu kukaa nao mwenyewe atleast kwa miezi mitatu... najuta mno. wananikondesha. hawanipigi ngumi ila kuna namna wananipiga.
kwanza vitundu. yaani tv yangu vimeshaharibu hii ni mara ya nne.
fridge napo vinaelekea kuiharibu
haviskii haviambiliki... ukivikemea vinalia halafu baada ya muda vinarudia yale yale.
vikianza kupigana kamoja kakipigwa kanatoa sauti kaliiii yaai kama nilikua nimetulia nina ishu zangu mood yote inakata
hapo havijaanza kutaniana.. mmoja akitaniwa anaanza kulia anatoa sauti kali yaani ni kero mpaka kichwa kinauma.
daaah... malezi kazi... hebu acha niwarudishe kwanza nijifunze funze mbinu atleast youtube