matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Sijafika Zanzibar na Kigoma pekee katika nchi hii... Nilichoona ni kuwa mikoa karibu yote iliyopitiwa na Waarabu ipo nyuma kimaendeleo... UMWINYI MWINGI...watz tunasimangwa Kwa kutotembea nje ya nchi. Naamini humu Tutakuwa tumebobea Ktk kutembea ndani ya nchi.
binafsi nimeishi na nimetembea mikoa 14 tz Bara na Mmoja Zanzibar.
nilichojifunza
Ni dsm tu ambapo watu huwahi kuamka asubuhi, wanatembea chap chap, watu wazima hawataki shkamoo.
maneno mengi sana. na uvivu wa kutosha.Sijafika Zanzibar na Kigoma pekee katika nchi hii... Nilichoona ni kuwa mikoa karibu yote iliyopitiwa na Waarabu ipo nyuma kimaendeleo... UMWINYI MWINGI...
nyamongo kule watu wote wanaafya. ni kijiji pekee chenye wanavijiji wenye magari na msouth za kutosha.Sijaenda Ruvuma,katavi,rukwa,mtwara ,kagera,lindi na pemba
Tarime is the best . Ukipiga yowe tu majirani washafika na silaha kusaidia.
Sehemu zingine watakuja kukupa pole asubuhi uliishaumizwa
mtwara niliwahi kufika pako cool sana.Mie sijafika Mtwara area hizo zaidi nadhani...lakini kwa Geita 🙌🙌 dogo mchafu mchafu anamiliki ukwasi wa hela!
mtwara niliwahi kufika pako cool sana.
ila Naona kama zile swaga za gesi hazijawasaidia,
Zanzibar pia...Nimewahi kufika Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Tanga, Dodoma, Morogoro, Pwani, Mtwara, Dar es salaam,
Sent using Jamii Forums mobile app