Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Dar inaonekana kubwa kwa vile wilaya hadi wilaya hakuna mapori... kwa maana ya eneo Dar ni ndogo..jiji la Mwanza Kwa mapana ni dogo kama ilivyodhaniwa Hasa ukilinganisha na dsm.
ukiamka asubuhi hata kutumia daladala unaweza kuzunguka kila kona hadi kufikia saa saba ukalimaliza
nimezunguka mikoa kibao.ila kwa wanaotafuta maisha geita kwenye migodi midogomidogo ukiwa na biashara hufi njaa.Namaanisha yakikushinda geita tafuta kitanzi ujimalize
nimezunguka mikoa kibao.ila kwa wanaotafuta maisha geita kwenye migodi midogomidogo ukiwa na biashara hufi njaa.Namaanisha yakikushinda geita tafuta kitanzi ujimalize
napata sana motisha ya kwenda geita aseeMie sijafika Mtwara area hizo zaidi nadhani...lakini kwa Geita [emoji119][emoji119] dogo mchafu mchafu anamiliki ukwasi wa hela!
pako vzr ila anzia kahama pia ni center kubwa
mgodi wa nyamongo""nyamongo kule watu wote wanaafya. ni kijiji pekee chenye wanavijiji wenye magari na msouth za kutosha.
pia wanaupendo usio na urafiki
sawa sawa ila hii migodi ya geita nahs ina hela sana mana kila mchangiaji anai appreciatepako vzr ila anzia kahama pia ni center kubwa
Duh!!jiji la Mwanza Kwa mapana ni dogo kama ilivyodhaniwa Hasa ukilinganisha na dsm.
ukiamka asubuhi hata kutumia daladala unaweza kuzunguka kila kona hadi kufikia saa saba ukalimaliza
Sijatembea sana TZ ila nimefanikiwa kuishi mikoa 8 tofauti mingi kanda ya pwani, kaskazini na kati.
Dodoma palinishangaza maana niliwasili humo kipindi cha masika palikua green kweli kweli ila ilipofikia kipindi cha kiangazi ilibaki miti tu isiyokuwa na majani huku ardhi nayo ikiwa haina uoto wowote.
Mkoa wa Kilimanjaro nilishangaa sana kusikia watu wakisema "Naenda Moshi" hapo labda anatokea Dar lakini hata Moshi hafiki kwao ni Same au anapita Moshi kwao ni Hai. Niakaja kugundua watu wengi hudhani mkoa wote wa Kilimanjaro huitwa Moshi kumbe Moshi ni wilaya tu (Moshi Mjini na Moshi Vijijini).
Morogoro kusema kweli ni mkoa pekee ambao niliishi nikiwa sielewi, jiografia ya kichwa ilivurugika maana nilikua naishi Kihimbwa Road kule Forest juu lakini siku zote niliona jua likichomoza kutoka Magharibi na kuzama Mashariki. 😂😂
Yeah karibu na ghorofa la reli kwenye quarters za Tumbaku.Ahaa yaani ww ulikua jirani..kihimbwa road..asbh baridii
ukware unalipa sana karibu sana.
Hahaha ulikuwa umeitegea mgongo DuniaAhaa yaani ww ulikua jirani..kihimbwa road..asbh baridii
Hakuna mashamba au?
👯👯👯👯ukware unalipa sana karibu sana.
Sikuyaona aiseeHakuna mashamba au?