Ni mila zipi za kabila lingine uliwahi kukutana nazo zikakushangaza

Ni mila zipi za kabila lingine uliwahi kukutana nazo zikakushangaza

Kuna jamaa wa mkoa wa mara ,mtu mzima kakaake akisafiri analala chumbani kitanda kimoja na mke wa kakaake .anadai kawaida bro akirudi namba shida.hii ilikuwa 1990s
Wakilala na shemeji yake wanapeana mapenzi kama kawa au
 
Wamasai wenzangu kutokula samaki,kuku na ndege wengineo pamoja na mayai yao.Cha ajabu ukienda umasaini unakuta wanafuga kuku lakini kula hawali,basi mie mmasai wa pwani nkienda nawafakamia vyuku balaa,asubuhi napasua yai kama tano hivi kwenye kikaangio natoa kitu cha omlete wanabaki kunishangaa tu.
 
Wamasai wenzangu kutokula samaki,kuku na ndege wengineo pamoja na mayai yao.Cha ajabu ukienda umasaini unakuta wanafuga kuku lakini kula hawali,basi mie mmasai wa pwani nkienda nawafakamia vyuku balaa,asubuhi napasua yai kama tano hivi kwenye kikaangio natoa kitu cha omlete au fromage wanabaki kunishangaa tu.
Kumbe wamasai hawali samak wala kuku wala mayai asante kwa hii elimu sijawahi kujua kabla

Sasa hao kuku wanamfugia nani na wao hawali
 
Kabila fulani hapo Singidani,

mwanamke ukifanikiwa kuona shanga zake ruksa kugonga mzigo popote pale ulipoziona.

Na

Halafu mwanamke asiye na shanga ni mjamzito.
Pia kwenye hilo kabila mwanamke asiye na shanga anakuwa yupo bleed
 
Kabila Fulani La Tanga siku nilipooa walitaka nigonge mchanax2. na ndugu wa mke wapewe mrejesho fasta.
Nilikataa na kuwaambia nilishagongaga kitambo.
Walikua wanataka kujua kama bikra ipo ama walikua wanataka kuvumbua nini
 
Kabila fulani hapo Singidani,

mwanamke ukifanikiwa kuona shanga zake ruksa kugonga mzigo popote pale ulipoziona.

Na

Halafu mwanamke asiye na shanga ni mjamzito.
Ukifanikiwa kuona unajilia vyako kiulaini
 
Wasukuma bwana..... kukiwa na sherehe hasa zile za kilimo wakati wa chakula ni ugali kwanza unatangulia, watu wanakula na kushiba halafu wali unafuatia. Yaani kwao wali ni mboga tu, ukiwapa wali na ndizi au nyama wanasema MBOGA KWA MBOGA.
Ahahaaa acha utan mkuu
 
Hahahaaaa jamani Wewe [emoji23][emoji23][emoji23] labda walitaka kisha uwape mrejesho waweze kujua mzigo ulikuwa full containerlised and sealed au Kama ulikuwa loose cargo yani kichele [emoji14][emoji14][emoji14][emoji39] tena watakuwa waliweka kitambaa cheupe na shuka jeupe! Kwa hiyo kimsingi hiyo ndo ilikuwa observation Yao so far!
Walitaka kujua kama haijatumika au wajanja walishafanya yao
 
Kumbe wamasai hawali samak wala kuku wala mayai asante kwa hii elimu sijawahi kujua kabla

Sasa hao kuku wanamfugia nani na wao hawali
Wanafuga kwaajili ya biashara mkuu ,wanawake ndo wanafuga sio wanaume.na sio wote tunadumisha hyo mila hususan sie ambao ni waislamu,na wale tulikulia katika mazingira ya mbali na umasaini
 
Mm wasukuma ile tabia ya kuanza kupiga stori kwanza then salam baadae nilishangaa sana hafu wanapenda shikamoo..

Wahaya wanakula wameinama ukiinua mgogongo unatoka kabisa na hata mama mkwe akija mke no kuamka
Wasukuma bhana

Wahaya ina maana ukila hamtakiwi kuangaliana wala kuongea macho ni kwenye msosi tu na hapo mama mkwe akija hakuna kuamka kwenye msosi si ndio
 
Wanafuga kwaajili ya biashara mkuu ,wanawake ndo wanafuga sio wanaume.na sio wote tunadumisha hyo mila hususan sie ambao ni waislamu,na wale tulikulia katika mazingira ya mbali na umasaini
Sawa mkuu nmekuelewa
 
Waha wakigoma. Wanavuta vidude kwenye papuchi na kuwa marefuuuu

Hali yakuwa wenzetu wanakata
Kumbeee!! Ndiyo maana miaka ya nyuma kidogo, nilikitana na binti mmoja was kasulu alikuwa Nazi ndefuuuu, nilifurahi sana kuzichezea mpaka akawa ana " nyaza".
 
Back
Top Bottom