Ni mila zipi za kabila lingine uliwahi kukutana nazo zikakushangaza

Ni mila zipi za kabila lingine uliwahi kukutana nazo zikakushangaza

Aisee kuna hawa waruguru WA morogoro aisee wana culture flani ya kigodoro aisee inaleta umaskini kwenye kaya zao halafu wala hata hawashutki walikua wanshangaza sana

Of course ni culture ya kishenzi sana kwenye jamii no future, poorer families, poor social economy,

High rate of HIV, poor and sometimes absence of social particularly family control in most cases

Wanachojua wao ni ngono tu na pombe vijana kucheza poor na mpira elimu ziro kabisa waha jamaa wao na culture yao ya kigodoro ni bure kabisa
Mkuu unamaanisha WALUGURU et?
 
  • Thanks
Reactions: a45
Vilevile, Umasaini hapo.

Watoto wakikutana na wakubwa zao. Huwa wana desturi za kuinama kisha kichwa kukiinamisha kwa mkubwa wake, mkubwa wake huweka mikono kichwani kwa Mdogo huku maongezi yakiendelea. Baada ya tukio hilo LA sekunde 45-60.

Wakiwa na maana mkubwa anampatia Baraka kijana wao
Sasa hapo cha kushangaza kipi tena
 
Wachaga, kuzaa watoto kisha wanawatelekeza na bibi au babu kijijini kisha wao wanakula maisha mjini. Hili huwa silielewi kwakweli!!!!
Labda ni kwa sababu ya kutafuta maisha kwanza then baadae wanawafuata watoto wao
 
Labda ni kwa sababu ya kutafuta maisha kwanza then baadae wanawafuata watoto wao
Aah wapi, wengi ndio nitolee hivyo. Unatafuta maisha tangu mtoto yuko msingi hadi anamaliza sekondari!!!!
Wanadai wanawaacha watoto wawalee bibi na babu zao.
 
Aah wapi, wengi ndio nitolee hivyo. Unatafuta maisha tangu mtoto yuko msingi hadi anamaliza sekondari!!!!
Wanadai wanawaacha watoto wawalee bibi na babu zao.
Watoto wanapata tabu wao wako mjini wanakula maisha

Halafu bibi na babu endapo watafariki sijui wanawafata watoto wao
 
Back
Top Bottom