Uzuri wa nchi yetu tuna makabila mengi ila hatuna ukabilaMila za makabila ni nzuri mno. Yaani utofauti wa mila zetu na desturi ndiyo afya ya taifa letu. Nawachukia sana wanaoshobokea kuoa makabila yao walikotoka.
Oa yeyote yule upate vipaji vingine huko.
Watu wa dar ndo hivyo walivyoKabila Fulani La Tanga siku nilipooa walitaka nigonge mchanax2. na ndugu wa mke wapewe mrejesho fasta.
Nilikataa na kuwaambia nilishagongaga kitambo.
Na mboga mkuu either nyama au samaki.Ni ugali mtupu bila mboga hata kidogo au ni vipi
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Waha wakigoma. Wanavuta vidude kwenye papuchi na kuwa marefuuuu
Hali yakuwa wenzetu wanakata
Kumbe wamasai hawali samak wala kuku wala mayai asante kwa hii elimu sijawahi kujua kablaWamasai wenzangu kutokula samaki,kuku na ndege wengineo pamoja na mayai yao.Cha ajabu ukienda umasaini unakuta wanafuga kuku lakini kula hawali,basi mie mmasai wa pwani nkienda nawafakamia vyuku balaa,asubuhi napasua yai kama tano hivi kwenye kikaangio natoa kitu cha omlete au fromage wanabaki kunishangaa tu.
Pia kwenye hilo kabila mwanamke asiye na shanga anakuwa yupo bleedKabila fulani hapo Singidani,
mwanamke ukifanikiwa kuona shanga zake ruksa kugonga mzigo popote pale ulipoziona.
Na
Halafu mwanamke asiye na shanga ni mjamzito.
Ahahaaa acha utan mkuuWasukuma bwana..... kukiwa na sherehe hasa zile za kilimo wakati wa chakula ni ugali kwanza unatangulia, watu wanakula na kushiba halafu wali unafuatia. Yaani kwao wali ni mboga tu, ukiwapa wali na ndizi au nyama wanasema MBOGA KWA MBOGA.
Walitaka kujua kama haijatumika au wajanja walishafanya yaoHahahaaaa jamani Wewe [emoji23][emoji23][emoji23] labda walitaka kisha uwape mrejesho waweze kujua mzigo ulikuwa full containerlised and sealed au Kama ulikuwa loose cargo yani kichele [emoji14][emoji14][emoji14][emoji39] tena watakuwa waliweka kitambaa cheupe na shuka jeupe! Kwa hiyo kimsingi hiyo ndo ilikuwa observation Yao so far!
Wanafuga kwaajili ya biashara mkuu ,wanawake ndo wanafuga sio wanaume.na sio wote tunadumisha hyo mila hususan sie ambao ni waislamu,na wale tulikulia katika mazingira ya mbali na umasainiKumbe wamasai hawali samak wala kuku wala mayai asante kwa hii elimu sijawahi kujua kabla
Sasa hao kuku wanamfugia nani na wao hawali
Wasukuma bhanaMm wasukuma ile tabia ya kuanza kupiga stori kwanza then salam baadae nilishangaa sana hafu wanapenda shikamoo..
Wahaya wanakula wameinama ukiinua mgogongo unatoka kabisa na hata mama mkwe akija mke no kuamka
Kumbeee!! Ndiyo maana miaka ya nyuma kidogo, nilikitana na binti mmoja was kasulu alikuwa Nazi ndefuuuu, nilifurahi sana kuzichezea mpaka akawa ana " nyaza".Waha wakigoma. Wanavuta vidude kwenye papuchi na kuwa marefuuuu
Hali yakuwa wenzetu wanakata