Ni mila zipi za kabila lingine uliwahi kukutana nazo zikakushangaza

Mkuu unamaanisha WALUGURU et?
 
Reactions: a45
Sasa hapo cha kushangaza kipi tena
 
Wachaga, kuzaa watoto kisha wanawatelekeza na bibi au babu kijijini kisha wao wanakula maisha mjini. Hili huwa silielewi kwakweli!!!!
Labda ni kwa sababu ya kutafuta maisha kwanza then baadae wanawafuata watoto wao
 
Labda ni kwa sababu ya kutafuta maisha kwanza then baadae wanawafuata watoto wao
Aah wapi, wengi ndio nitolee hivyo. Unatafuta maisha tangu mtoto yuko msingi hadi anamaliza sekondari!!!!
Wanadai wanawaacha watoto wawalee bibi na babu zao.
 
Aah wapi, wengi ndio nitolee hivyo. Unatafuta maisha tangu mtoto yuko msingi hadi anamaliza sekondari!!!!
Wanadai wanawaacha watoto wawalee bibi na babu zao.
Watoto wanapata tabu wao wako mjini wanakula maisha

Halafu bibi na babu endapo watafariki sijui wanawafata watoto wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…