Ni mila zipi za kabila lingine uliwahi kukutana nazo zikakushangaza

Ni mila zipi za kabila lingine uliwahi kukutana nazo zikakushangaza

Usiombe kuujua mchezo huo mkuu maana nizaidi ya raha na ukishazoea hata ukikutana na asiye na maji unajikuta tu ushalazimisha kupiga
Basi wanatakiwa waoane wenyewe kwa wenyewe maana mambo yao ni ngumu kuyajua ukiwa siyo wa kabila hilo
 
Hawa wamasai ambao wazazi hujenga mazoea ya kuwaingizia kwenye K watoto wao wakike vibuyu vyembamba aina ya finga ili wapanuke na waoelewe mapema. Mtoto wa kimasai anaeza olewa akiwa na miaka 7
 
Mwanamke ulie olewa Kwenye familia ya ki Kerewe ni malufuku,na nikosa kubwa kutamka hadharan jina la mkweo hata kama jina la mkweo ndo jina ulilo muita mwanao naikitokea umejisahau ukalitamka utapigwa faini.hivyo basi unatakiwa ubuni jinalako la kifasihi ili kufikisha ujumbe ulio kusudia.
 
wanaita "KUTOGOLA" hahahahaha
 
Aisee kuna hawa waruguru WA morogoro aisee wana culture flani ya kigodoro aisee inaleta umaskini kwenye kaya zao halafu wala hata hawashutki walikua wanshangaza sana

Of course ni culture ya kishenzi sana kwenye jamii no future, poorer families, poor social economy,

High rate of HIV, poor and sometimes absence of social particularly family control in most cases

Wanachojua wao ni ngono tu na pombe vijana kucheza poor na mpira elimu ziro kabisa waha jamaa wao na culture yao ya kigodoro ni bure kabisa
Poor ndo mchezo gani?
 
Teh wasukuma wana vituko sana. Wasukuma hasa wanyantuzu mwanamke akifariki wakati wa kujifungua wanawake wanachuma fimbo na kuanza kutembea barabarani ole wake wakutane na mwanaume atakula viboko vya kutosha.
Wanadai bila mwanaume huyo mama asingefariki (asingepata mimba)
Ha haa hii bado ipo!

Nyani Ngabu
 
Basi wanatakiwa waoane wenyewe kwa wenyewe maana mambo yao ni ngumu kuyajua ukiwa siyo wa kabila hilo

Unayajua kwa siku moja tu mkuu maana ukimpata asiye na haya ukawa hujui kuyapiga anakwambia wewe mlengeshee ajipige mwenyewe na yakiisha toka kale kauvuguvugu kake unajikuta ushashika mwenyewe na kuanza kuchalaza basi wewe unakua unazungusha kichwa kuyakwepa jasiingie machoni kama swila anayekwepa kupigwa mawe
 
Mwanamke ulie olewa Kwenye familia ya ki Kerewe ni malufuku,na nikosa kubwa kutamka hadharan jina la mkweo hata kama jina la mkweo ndo jina ulilo muita mwanao naikitokea umejisahau ukalitamka utapigwa faini.hivyo basi unatakiwa ubuni jinalako la kifasihi ili kufikisha ujumbe ulio kusudia.

Okutogola
 
Kitu hawayaacha ni ngusigi(ugoro), pia chupi hawataki kusikia, mke na mume hawalali chumba kimoja mpaka Siku ya mechi. Akipoteza fimbo anaweza kuifwata km 20 wakati yuko porini miti mingi shikamoo wamasai.

Pia wanawaogopa wamang'ati mmang'ati akipoteza ng'ombe wamasai wanamsaidia kutafuta maana varangati LA mang'ati si mchezo

Nibora kupoteza smartphone kuliko nipoteze hii kitu
ec9654d94bcc722c0fb28c3e8ba22391.jpg

Alafu wamangati ni majirani zetu,hatuwaogopi tunaheshimiana nao,afu wale akili zao wanazijua wenyewe lazima ukae nao kwa umakini.
 
kunasiku nilishuhudia moran wakimasai wakipokea kipigo mpaka nikawaonea huruma walitembezewa fimbo utafikiri wanatumia umeme. dakika moja masai ashachezea fimbo zaid ya 120.

walikutwa na ngozi mbona walitoa ng'ombe wa tano.
 
Back
Top Bottom