Ni mila zipi za kabila lingine uliwahi kukutana nazo zikakushangaza

Ni mila zipi za kabila lingine uliwahi kukutana nazo zikakushangaza

kunasiku nilishuhudia moran wakimasai wakipokea kipigo mpaka nikawaonea huruma walitembezewa fimbo utafikiri wanatumia umeme. dakika moja masai ashachezea fimbo zaid ya 120.

walikutwa na ngozi mbona walitoa ng'ombe wa tano.
Sasa mkuu uliona wapi mtu akafumaniwa alafu akawa mbabe,ukidakwa lazima unywee,ulitaka walete undava ilhali wao ndo wenye makosa?
 
Mwanamke ulie olewa Kwenye familia ya ki Kerewe ni malufuku,na nikosa kubwa kutamka hadharan jina la mkweo hata kama jina la mkweo ndo jina ulilo muita mwanao naikitokea umejisahau ukalitamka utapigwa faini.hivyo basi unatakiwa ubuni jinalako la kifasihi ili kufikisha ujumbe ulio kusudia.
Mkwe yupi baba mkwe au mama mkwe
 
kulitamka hadharani ndio wenyewe wanasema "AMETOGOLA BABA MKWE WAKE" unaweza kulipa faini na kupewa onyo kwa utovu wa nidhamu!
Hahahaha umefanya kosa la jinai kweli tembea uone

Mwanao akiwa anaitwa jina la bibi au babu yako ni mtihani kwako kila mda unatakiwa uwe makini hapo
 
Hahahaha umefanya kosa la jinai kweli tembea uone

Mwanao akiwa anaitwa jina la bibi au babu yako ni mtihani kwako kila mda unatakiwa uwe makini hapo
Ndio maana kwenye makabila mfano wachaga, utakuta majina haya: BABUU, KADADAA, KABIBII pia wanaepuka kutaja majina ya wakwe
 
Tanga niliagizia samaki na ugali nilivyomaliza kula samaki upande nikamgeuza nikasikia wahudumu kwenye hotel teeeeeee amgeuza akosamke wewe nilishangaa sana
 
Tanga niliagizia samaki na ugali nilivyomaliza kula samaki upande nikamgeuza nikasikia wahudumu kwenye hotel teeeeeee amgeuza akosamke wewe nilishangaa sana
Walikuwa na maana gani mkuu
 
Back
Top Bottom