titimunda
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 7,571
- 9,789
Sasa mkuu uliona wapi mtu akafumaniwa alafu akawa mbabe,ukidakwa lazima unywee,ulitaka walete undava ilhali wao ndo wenye makosa?kunasiku nilishuhudia moran wakimasai wakipokea kipigo mpaka nikawaonea huruma walitembezewa fimbo utafikiri wanatumia umeme. dakika moja masai ashachezea fimbo zaid ya 120.
walikutwa na ngozi mbona walitoa ng'ombe wa tano.