Basi wanatakiwa waoane wenyewe kwa wenyewe maana mambo yao ni ngumu kuyajua ukiwa siyo wa kabila hiloUsiombe kuujua mchezo huo mkuu maana nizaidi ya raha na ukishazoea hata ukikutana na asiye na maji unajikuta tu ushalazimisha kupiga
wanaita "KUTOGOLA" hahahahahaMwanamke ulie olewa Kwenye familia ya ki Kerewe ni malufuku,na nikosa kubwa kutamka hadharan jina la mkweo hata kama jina la mkweo ndo jina ulilo muita mwanao naikitokea umejisahau ukalitamka utapigwa faini.hivyo basi unatakiwa ubuni jinalako la kifasihi ili kufikisha ujumbe ulio kusudia.
Poor ndo mchezo gani?Aisee kuna hawa waruguru WA morogoro aisee wana culture flani ya kigodoro aisee inaleta umaskini kwenye kaya zao halafu wala hata hawashutki walikua wanshangaza sana
Of course ni culture ya kishenzi sana kwenye jamii no future, poorer families, poor social economy,
High rate of HIV, poor and sometimes absence of social particularly family control in most cases
Wanachojua wao ni ngono tu na pombe vijana kucheza poor na mpira elimu ziro kabisa waha jamaa wao na culture yao ya kigodoro ni bure kabisa
Mmh serious?Mgogo ktoboa macho kwa minyaa apate sababu ya kupewa msaada!
Dooh yalikua mateso ya hali yajuuBibi yangu aliwahi nihadithia kuwa wao (wanyaturu) zamani zile kama mwanaume amerudi kutoka kunywa pombe anahasira basi mke anachukua kigoda anakaa uwani anapigwa weeeeee hadi mwanaume hasira ziishe then maisha yanaendelea. [emoji134][emoji20][emoji22]
Wee ni hoba alokwambia hiyo ni mila ya waarabu naniMila za kiarabu ndo huwa zinaniacha hoi mfano kumpiga mawe shetan
Ha haa hii bado ipo!Teh wasukuma wana vituko sana. Wasukuma hasa wanyantuzu mwanamke akifariki wakati wa kujifungua wanawake wanachuma fimbo na kuanza kutembea barabarani ole wake wakutane na mwanaume atakula viboko vya kutosha.
Wanadai bila mwanaume huyo mama asingefariki (asingepata mimba)
Haah alafu dakika kumi mbele mkavu [emoji102]Utasikia tu ijuubhaaaaa unkamu gwangu
Basi wanatakiwa waoane wenyewe kwa wenyewe maana mambo yao ni ngumu kuyajua ukiwa siyo wa kabila hilo
Mwanamke ulie olewa Kwenye familia ya ki Kerewe ni malufuku,na nikosa kubwa kutamka hadharan jina la mkweo hata kama jina la mkweo ndo jina ulilo muita mwanao naikitokea umejisahau ukalitamka utapigwa faini.hivyo basi unatakiwa ubuni jinalako la kifasihi ili kufikisha ujumbe ulio kusudia.
Kitu hawayaacha ni ngusigi(ugoro), pia chupi hawataki kusikia, mke na mume hawalali chumba kimoja mpaka Siku ya mechi. Akipoteza fimbo anaweza kuifwata km 20 wakati yuko porini miti mingi shikamoo wamasai.
Pia wanawaogopa wamang'ati mmang'ati akipoteza ng'ombe wamasai wanamsaidia kutafuta maana varangati LA mang'ati si mchezo
Sio wote mkuu wanaokula ni wachache sana ukilinganisha na wasiokula.Saivi wanakula adi dagaa.
Unacheza na magu.
Nibora kupoteza smartphone kuliko nipoteze hii kitu
Alafu wamangati ni majirani zetu,hatuwaogopi tunaheshimiana nao,afu wale akili zao wanazijua wenyewe lazima ukae nao kwa umakini.