Unapozaliwa tayari kuna risiti ya kifo huandaliwa, Kifo ni uhakika hakiwezi kukwepeka.
Utaratibu uliozoeleka hapa kwetu mazishi hufanyika kwa staili ya kuumezesha udongo mwili, kaburi litachimbwa mwili utawekwa ndani yake kisha kufukiwa.
Lakini mimi nimekuwa na approach tofauti kabisa, ningependa nikifa ikiwa mwili wangu utapata bahati ya kupewa heshima ya mwisho basi nichomwe moto mpaka majivu.
kuliko kupitia process za kuoza na kuliwa na mafunza (japo hauwi katika hali ya kuhisii chochote) ila yale mawazo ya kuhisi utaoza na kuliwa na funza inakera