Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😍 Mmmmh......, I can't imagine. Mpaka unahofia maiti yako inaweza kubakwa!?!? Uko 'vizuri'.Mie maiti yangu izikwe tu
Vinginevyo itabakwa sana
mambo yamalizike fasta kwa moto, majivu yapeperushwe sehemu ya asiliHauko peke yako, ni mawazo mujarabu kabisa kuliko kupitia process za kuoza na kuliwa na mafunza(japo nadhani hauwi katika hali ya ku-feel chochote) but that feeling ya kuihisi utaoza na kuliwa na funza it's so disturbing.
Tunataka uoze dunia ipate mbolea, wewe unataka tukate misitu tupate kuni tukuchome?Unapozaliwa tayari kuna risiti ya kifo huandaliwa, Kifo ni uhakika hakiwezi kukwepeka.
Utaratibu uliozoeleka hapa kwetu mazishi hufanyika kwa staili ya kuumezesha udongo mwili, kaburi litachimbwa mwili utawekwa ndani yake kisha kufukiwa.
Lakini mimi nimekuwa na approach tofauti kabisa, ningependa nikifa ikiwa mwili wangu utapata bahati ya kupewa heshima ya mwisho basi nichomwe moto mpaka majivu.
kuliko kupitia process za kuoza na kuliwa na mafunza (japo hauwi katika hali ya kuhisii chochote) ila yale mawazo ya kuhisi utaoza na kuliwa na funza inakera
Kufa nife Mimi kuzikwa waamue ndugu. PatheticKwani we ni baniani mpaka utake kuchomwa moto ukifa? Ndugu zako ndio wataamua uzikweje