Kweli bange inavutwaMie maiti yangu izikwe tu
Vinginevyo itabakwa sana
Kwanza Maiti sio yako ni yetuUnapozaliwa tayari kuna risiti ya kifo huandaliwa, Kifo ni uhakika hakiwezi kukwepeka.
Utaratibu uliozoeleka hapa kwetu mazishi hufanyika kwa staili ya kuumezesha udongo mwili, kaburi litachimbwa mwili utawekwa ndani yake kisha kufukiwa.
Lakini mimi nimekuwa na approach tofauti kabisa, ningependa nikifa ikiwa mwili wangu utapata bahati ya kupewa heshima ya mwisho basi nichomwe moto mpaka majivu.
Ni mimi peke yangu mwenye mawazo haya
Nna mwanangu leo ametoka kuniambia hivi. Yeye akifa anataka organs zake viwe donated kwa wagonjwa wenye uhitaji 🙌Mimi nitadonate viungo vyangu vinavyoweza kutumika vitumike vingine wafanyie majaribio ya kisayansi huko !!
As you wishUnapozaliwa tayari kuna risiti ya kifo huandaliwa, Kifo ni uhakika hakiwezi kukwepeka.
Utaratibu uliozoeleka hapa kwetu mazishi hufanyika kwa staili ya kuumezesha udongo mwili, kaburi litachimbwa mwili utawekwa ndani yake kisha kufukiwa.
Lakini mimi nimekuwa na approach tofauti kabisa, ningependa nikifa ikiwa mwili wangu utapata bahati ya kupewa heshima ya mwisho basi nichomwe moto mpaka majivu.
Ni mimi peke yangu mwenye mawazo haya
☕☕☕Mkuu wakati wa kufufuliwa siku ya mwisho utatuchelewesha sana kupata majivu yako.
Ukifa huna thamani TenaUnapozaliwa tayari kuna risiti ya kifo huandaliwa, Kifo ni uhakika hakiwezi kukwepeka.
Utaratibu uliozoeleka hapa kwetu mazishi hufanyika kwa staili ya kuumezesha udongo mwili, kaburi litachimbwa mwili utawekwa ndani yake kisha kufukiwa.
Lakini mimi nimekuwa na approach tofauti kabisa, ningependa nikifa ikiwa mwili wangu utapata bahati ya kupewa heshima ya mwisho basi nichomwe moto mpaka majivu.
Ni mimi peke yangu mwenye mawazo haya
Ila mshangazi una vituko weweMie maiti yangu izikwe tu
Vinginevyo itabakwa sana
Hauko peke yako, ni mawazo mujarabu kabisa kuliko kupitia process za kuoza na kuliwa na mafunza(japo nadhani hauwi katika hali ya ku-feel chochote) but that feeling ya kuihisi utaoza na kuliwa na funza it's so disturbing.Unapozaliwa tayari kuna risiti ya kifo huandaliwa, Kifo ni uhakika hakiwezi kukwepeka.
Utaratibu uliozoeleka hapa kwetu mazishi hufanyika kwa staili ya kuumezesha udongo mwili, kaburi litachimbwa mwili utawekwa ndani yake kisha kufukiwa.
Lakini mimi nimekuwa na approach tofauti kabisa, ningependa nikifa ikiwa mwili wangu utapata bahati ya kupewa heshima ya mwisho basi nichomwe moto mpaka majivu.
Ni mimi peke yangu mwenye mawazo haya
You can write a will kwamba pindi utakapofariki basi mwili wako uchomwe moto.Kwani we ni baniani mpaka utake kuchomwa moto ukifa? Ndugu zako ndio wataamua uzikweje