Ni mimi peke yangu natamani maiti yangu ichomwe moto nikifa badala ya kuzikwa ardhini?

Una share same Minset na mimi...!!

Mimi natamani majivu yangu yaje yatupwe katikati ya ziwa Tanganyika....!!
 
Hauko peke yako, ni mawazo mujarabu kabisa kuliko kupitia process za kuoza na kuliwa na mafunza(japo nadhani hauwi katika hali ya ku-feel chochote) but that feeling ya kuihisi utaoza na kuliwa na funza it's so disturbing.
mambo yamalizike fasta kwa moto, majivu yapeperushwe sehemu ya asili
 
Sasa adhabu ya kabri utaipataje? Alafu siku ya mwisho utafufuliwaje akati ushakua majivu? Bora ingebaki mifupa!

Alisikika mzee mmoja wa Gaza.
 
Tunataka uoze dunia ipate mbolea, wewe unataka tukate misitu tupate kuni tukuchome?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…